TAARIFA: YAH:Kuvunjika RASMI kwa ndoa kati ya Ruttashobolwa na Madame B

Kwenda kwa:mwenyekiti mahusiano Baba V
kk:sreening committee
yah:masikitiko makubwa

Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa kutoka kwa mwenyekiti kuhusu uhusiano wa Ruttashobolwa kuvunjika rasmi,nikiwa kama mwanachitchat nimesikitishwa na tukio hilo.
Napenda kumpa pole ndugu Ruttashobolwa kwa yote yaliyomkuta,pia kama wanachitchat tuchukulie hili tukio sio kwa upande mmoja bali iwe kama fundisho kwa wote kwa kuangalia makosa yaliyotendeka nasi katika mahusiano yetu na ndoa zetu hapa chitchat ziweze kudumu na zisirudie makosa na chitchat iwe sehemu nzuri ya kifamilia na kulea watoto vizuri kama C6, charminglady na mtoto wao pekee tedo, Baba V na mama V na mtoto wao Chilli.
Asanteni sana.
Chimbuvu & Madame B

kwa niaba ya familia ya Mr. & Mrs C6 tunapenda kutoa shukran kwako wewe Chimbuvu kwa kutambua uwepo wetu.

Kwako Madame B, nakupongeza kwa hatua uliyochukua, Ukiona huwezi kuvumilia ni bora kutoka bibi ya nini KUFA KOHORO kha!!!!
 
Last edited by a moderator:

Unaendeleaje mama kijacho!?
 
Last edited by a moderator:
Mr. Rutta naomba pokea twins congratulation toka Judgement!.
I don't say sorry due this matter! Sometimes i say congra!
Everthin seemed to fall apart at once in human life! So far iwe kwako Loya or kwangu or for anotherelse!
Askari wangu litsen me :
You just kip aside any stress about!
Stressed out my writehand indeed!
You just be anxious about the future and wht your financial situation would be!
Ever broke up this couple nothin can happen forever and it would never be an issue!
Just say the least! Your career bein virtually existent coz your FOKAS had been on your NEW WIFE !
Jogoo hafishwi na utitiri .
Lastly am say on speakerloudly with widely mouth You are Hero.
 
Last edited by a moderator:
snowhite haya si ni wewe wasema? Kimantiki waonesha wewe ndo unamsarandia Baba V !
Hivi wadau siku hizi vitunguu saumu sokoni kilo shiing' ngapi ?
Nauliza tu bei , maanake naona kuna wenzetu wengine wanapeanwa bure, so far hata price they never know !

AHAHAHHAHHAHAHHAHHAHN !MIE?lol
 
nimeuliza tu!

Hivi huyu Baba V ako wapi jamani ?
Baba V iiiiiiii
Unajua Baba V utaniuzi ujue?
Afu mi nna hasira mbaya !
Ohooo!
Hivi unataka huyu binti snowhite mpaka akukretie sredi kua anakutaka!
Mphoto huuoni ! Na miandishi pia ?
Haka kabinti mi nshakaridi longo fakini kanakutaka!
Tena kanakupenda mbaya!
Hapa kanajibaraguza mara choroko mara dengu !
Kameshatia maguu kunako 18 zako! Cheza na winga sasa!
Hadi kesho ningependa nisikie ushatupia kambani .
Hatuko hapa kulea kenge! Hapa ikijiseti unabatua tu! Mbere kwa mbere.
 
ahahahahhahhhahhahahhahhaha usiusemee moyo banaa!
we songesha usomeke!
 
Ndoa ya pili ya uyu madame inatangazwa kuvunjwa,
Hivi kumbe kuna ndoa za mume zaidi ya mmoja?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom