Taarifa ya utekelezaji wa mbunge John Mnyika

Taarifa ya utekelezaji wa mbunge John Mnyika

Hongera sana John Mnyika kwa kutekeleza majukumu na kutimiza ahadi zako kwa kiasi hiki. Nina mtazamo tofauti na namna taarifa ilivyopangiliwa na kuwakilishwa. Inajenga hisia kwamba Ubunge ni kazi ya kutoa misaada na hisani za fedha. Mathalani kutawala kwa matumizi ya maneno "alitoa TZS", "alichangia TZS", "Aligharamia TZS" katika hii taarifa kunajenga picha potofu. Japo natambua vema kwamba John Mnyika ameitendea haki Ibara ya 63(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya 1984 Na.15 ib.12 vinavyoelezea Madaraka na wajibu wa Mbunge.

Nilitegemea taarifa hii ijikite zaidi katika kuonyesha jinsi John Mnyika alivyoshiriki katika utunzi na urekebishaji wa Sheria, usimamizi na ushauri kwa Serikali na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba ya sasa. Na sote ni mashahidi wa jinsi kijana alivyoichachafya serikali Bungeni. Kutofanya hivyo kunajenga hisia kwamba Ubunge ni kazi ya wenye pesa na si ya watu wenye mawazo mapya au mbinu mpya wala utendaji.
 
kila mbunge akiamua kuleta orodha ya miradi ya jimboni kwake inayofanywa na serikali patakuwa hapatoshi hapa! any way anasadia kuitangaza serikali ya ccm inavyofanya kazi yake
Anza na Idd Azan alete ya Kinondoni na Zungu alete ya Ilala?
 
Hongera sana John Mnyika kwa kutekeleza majukumu na kutimiza ahadi zako kwa kiasi hiki. Nina mtazamo tofauti na namna taarifa ilivyopangiliwa na kuwakilishwa. Inajenga hisia kwamba Ubunge ni kazi ya kutoa misaada na hisani za fedha. Mathalani kutawala kwa matumizi ya maneno "alitoa TZS", "alichangia TZS", "Aligharamia TZS" katika hii taarifa kunajenga picha potofu. Japo natambua vema kwamba John Mnyika ameitendea haki Ibara ya 63(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya 1984 Na.15 ib.12 vinavyoelezea Madaraka na wajibu wa Mbunge.

Nilitegemea taarifa hii ijikite zaidi katika kuonyesha jinsi John Mnyika alivyoshiriki katika utunzi na urekebishaji wa Sheria, usimamizi na ushauri kwa Serikali na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba ya sasa. Na sote ni mashahidi wa jinsi kijana alivyoichachafya serikali Bungeni. Kutofanya hivyo kunajenga hisia kwamba Ubunge ni kazi ya wenye pesa na si ya watu wenye mawazo mapya au mbinu mpya wala utendaji.
kama utakua umepitia vizuri taarifa hii utakuta sehemu aliyochangia ni nne na zilizobaki zote amesimamia halmashauri na ujenzi umefanyika na huo ndio wajibu wake kwa mujibu wa ibara 63(2) ya katiba hii mbovu.
 
aisee na MBUNGE wangu WENJE angekuwa hivi ningejisifu sana kwa kweli!
yeye ni machinga tu hajuagi kitu kingine,aliitisha harambee tukachanga hela ya madawati sijui hata mrejesho wake!
HONGERA SANA MNYIKA!!!!!

Hamana bhana Juzi nilihudhuria mkutano wake pale Shule ya Msingi IBANDA karibu na stand ya mabasi, mkolani kaelezea jinsi zilivyotumika. Afu pia nilipata nafasi ya kuchukua KADI
 
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Ubungo itakua inatoa taarifa kila wiki kupitia mitandao ya kijamii kuhusu taarifa ya utekezaji wa ahadi za mbunge wa ubungo, wakati huo huo ofisi inaendelea kuandaa kitabu cha taarifa ya utekeleza miaka miwili iliyopita. utakumbuka wakati mbunge akigombea mwaka 2010 alitumia agenda yake kuu ya AMUA-MASLAI YA UMMA KWANZA. neno AMUA lilisimama kwa maana ya;


A-Akili na Ajira
M-Miundombinu na Maji
U-Usalam na Uwajibikaji
A-Afya na Ardhi

leo ninaleta kwenu taarifa ya utekelezaji kwa kipengele cha AKILI kutoka kwy AMUA na namna alivyoweza kuisimamia serikali na kuishauri na hata michango yake ya moja kwa moja kwa mwaka wa 2012.

TAARIFA YA UTENDAJI YA MBUNGE KWA MWAKA 2012.

AKILI

06/05/2012 Mbunge alikabidhi vitabu vya kiada na ziada kwa Taasisi ya Maendeleo ya Ubungo (UDI)

04/09/2012 Mbunge amemchangia mkazi wa kimara matangini kiasi cha 35,0000.00 kwa ajili ya kununulia vifaa vya mtoto wake vya shule.

04/09/2012 Mbunge amemchangia mkazi wa kimara B Kiasi cha 100,000.00 kutoka katika mfuko wa elimu, kwa ajili ya mchango wa Ada.

04/09/2012 Mbunge amemchangia mkazi wa Makuburi Kiasi cha 100,000.00 kutoka katika mfuko wa elimu, kwa ajili ya mchango wa Ada.

Ujenzi wa madarasa katika shule ya Sekondari ya Makoka (4), gharama Tsh.9,223,350.00

Ujenzi wa madarasa katika shule ya Sekondari ya Hondogo (4), gharama Tsh. 9,223,350.00

Ujenzi wa choo shule ya msingi ya millennia ya tatu gharama Tsh. 6,770,745.48

Ujenzi wa madarasa manne shule ya sekondari Kibamba (Retention) Tsh. 6,370,870.00

Ujenzi wa madarasa katika shule ya sekondari ya makurumla, gharama Tsh.90, 133,512.75

Ujenzi wa madarasa 4 katika shule ya sekondari ya king'ongo, gharama Tsh. 20,031,210.00

Ukamilishaji wa ujenzi wa nyumba 2 za walimu, katika shule ya mbezi luis, gharama Tsh.30,000,000.00 ujenzi
umekamilika.

Ujenzi wa choo cha wanafunzi katika shule ya msingi mianzini-makurumla, gharama 20,000,000.00 ujenzi umekamilika.

Ujenzi wa choo cha wanafunzi katika shule ya msingi msakuzi-kwembe, gharama 24,000,000.00 ujenzi umekamilika.

Ujenzi wa madarasa mawili 2 katika shule ya msingi msakuzi – kwembe, gharama 36,000,000.00

Ujenzi wa choo cha wanafunzi, katika shule ya msingi msigani- msigani, gharama 24,000,000.00

Ujenzi wa choo cha wanafunzi , katika shule ya msingi makuburi jeshini –makuburi, gharama 24,000,000.00

Ujenzi wa choo cha wanafunzi , katika shule ya msingi jitihada – kimara, gharama 24,000,000.00 ujenzi umekamilika.

Ukarabati wa madarasa matatu katika shule ya msingi mianzini, gharama 10,000,000.00 kazi imekamilika.

Idadi ya madawati yaliyopelekwa katika shule za msingi.
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Na
[/TD]
[TD]Shule
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]Idadi ya Madawati
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]1
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Millenia ya tatu-kimara
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]65
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]2
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Kimara Baruti-kimara
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]27
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]3
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Saranga-Saranga
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]27
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]4
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Kimara B-Saranga
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]13
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]5
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Jitihada- Kimara
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]11
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]6
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Makabe-Mbezi
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]13
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]7
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Msumi-Mbezi
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]19
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]8
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Mbezi Luis-Mbezi
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]13
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]9
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Mpakani- Kwembe
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]24
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]10
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Mburahati- Mburahati
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]23
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]11
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Muungano-Mburahati
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]15
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]12
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Kilungule – Kimara
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]30
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]13
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Kibesa – Mbezi
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]50
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]14
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]King'ongo- Saranga
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]50
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]15
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Karume – Makurumla
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]08
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]16
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Mavurunza-Kimara
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]40
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]17
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Mwongozo- Makuburi
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]19
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]18
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Malamba Mawili-Msigani
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]49
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]19
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Upendo- Saranga
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]39
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]20
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Mbezi na Ufundi- Mbezi
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]48
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"]22
[/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]Mianzini- Makurumla
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]29
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 48, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 291, bgcolor: transparent"]JUMLA
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent"]580
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Manispaa ya kinondoni ilinunua maabara 10 zinazohamishika na kusambazwa katika shule za sekondari za kwembe, Matosa,Goba, Makurumla na Mabibo.

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 8 katika shule ya sekondari king'ong'o- Saranga, gharama ya mradi Tsh. 160,279,000.55.

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 6 shule ya sekondari ya Fahari-Goba, gharama ya mradi Tsh. 107,936,600.00.

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 4 shule ya sekondari Goba ‘A' – Goba, gharama ya mradi Tsh.68, 276,400.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 4 shule ya sekondari kwembe- Kwembe, gharama za mradi Tsh.65,860,000.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 4 shule ya sekondari malamba mawili – Msigani, gharama ya mradi 65,860,000.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 4 shule ya sekondari kiluvya- kibamba, gharama ya mradi Tsh.74,089,400.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 6 shule ya sekondari kibwegere-Kibamba, gharama ya mradi Tsh.107,981,200.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 6 shule ya sekondari kibweheri- Kibamba, gharama ya mradi Tsh.107, 981,200.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 4 shule ya sekondari ya Goba Mpakani- Goba, gharama ya mradi Tsh.36,044,000.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 4 shule ya sekondari ya Makoka- Makuburi, gharama ya mradi Tsh.38,058,000.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 4 shule ya sekondari ya Hondogo-Kibamba, gharama ya mradi Tsh.33,139,000.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 6 shule ya sekondari Gogoni-Kibamba, gharama ya mradi Tsh.122, 735,800.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 6 shule ya sekondari Kinzudi-Goba, gharama ya mradi Tsh.109,653,400.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 4 shule ya sekondari luguruni-Kwembe, gharama ya mradi Tsh.81,214,506.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 6 shule ya sekondari King'ong'o- Saranga, gharama ya mradi Tsh. 112,994,845.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 4 shule ya sekondari King'ong'o – Saranga, gharama ya mradi Tsh.67,356,000.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 6 shule ya sekondari Mabibo phase 2 – Mabibo, gharama ya mradi Tsh.198,276,000.00

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 10 shule ya sekondari makurumla phase 2 – Makurumla, gharama ya mradi Tsh380,668,901.00
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]S/NA
[/TD]
[TD]SHULE
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]MEZA NA VITI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]1
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]Y.N MAKAMBA
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]400
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]2
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]MBURAHATI
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]200
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]3
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]MANZESE
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]4
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]MAKURUMLA
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]5
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]KING'ONG'O
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]152
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]6
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]MUGABE
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]7
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]KIBAMBA
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]8
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]MUGABE
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]100
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]9
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]HONDOGO
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]10
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]MAKOKA
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]11
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]MALAMBA MAWILI
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]12
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]MABIBO
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]75
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]13
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]KWEMBE
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]14
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]TEMBONI
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]149
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]15
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]MPIJI MAGOHE
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent, colspan: 2"]16
[/TD]
[TD="width: 263, bgcolor: transparent"]KIBWEGERE
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 41, bgcolor: transparent"]17
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent, colspan: 2"]MBEZI IN
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 41, bgcolor: transparent"]18
[/TD]
[TD="width: 267, bgcolor: transparent, colspan: 2"]MATOSA
[/TD]
[TD="width: 287, bgcolor: transparent"]150
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Noma
 
Back
Top Bottom