Mkuu K.Msese, "eti" ni kitangulizi cha ishara ya ama "not sure" yaani huna uhakika, au "don't belive!", yaani huamini!........mtu yeyote aaanzaye kuuliza swali kwa kutumie.."ETI" ni wakumwogopa kama ukoma......huwa ni mnafiki mara zote..!
Wadau, jana kulikuwa na mbwembwe nyingi sana eti waandishi wa habari waliitwa kwenda makao makuu ya CHADEMA kwenda kusikiliza tamko la Sekretarieti ya CHADEMA.
Katika fuatilia yangu kwenye vyombo vya habari, yaani channel zote za taarifa ya habari jana usiku sikuona tamko lolote, leo pia katika kusikiliza magazeti RFA asubuhi hii pia sijasikia kabisa tamko hilo. Je waandishi wa habari hawakupewa posho ya kutoa habari kama walivyozoweshwa na CCM?
Naomba kuwasilisha!
Mkuu K.Msese, "eti" ni kitangulizi cha ishara ya ama "not sure" yaani huna uhakika, au "don't belive!", yaani huamini!.
Kwa mujibu wa ile "eti" yangu kule, kwa vile taarifa hizo nimezisikia kutoka source isiyo na uhakika, then zilipandishwa kwa kuitwa ji "tetesi", ukakika au uthibitisho ukishapatikana, neno tetesi huondolewa na "eti" pia huondoka!.
P.
Wadau, jana kulikuwa na mbwembwe nyingi sana eti waandishi wa habari waliitwa kwenda makao makuu ya CHADEMA kwenda kusikiliza tamko la Sekretarieti ya CHADEMA.
Katika fuatilia yangu kwenye vyombo vya habari, yaani channel zote za taarifa ya habari jana usiku sikuona tamko lolote, leo pia katika kusikiliza magazeti RFA asubuhi hii pia sijasikia kabisa tamko hilo. Je waandishi wa habari hawakupewa posho ya kutoa habari kama walivyozoweshwa na CCM?
Naomba kuwasilisha!
Mkuu Mizambwa, kwa mujibu wa sheria za jf, huruhusiwi kumfananisha member yoyoye na member mwingine yoyote hata kama wanashabihiana kwa kiasi gani!. Hili ni kosa linaitwa "name calling" na adhabu yake ni ban!.

Pasco.

Vyombo vyenye nasaba na CCM/mafisadi havitatoa tamko hilo kamwe