Taarifa ya pongezi kutoka CCM kwa ndg Turky kwa utu, upendo na mchango, kuokoa maisha ya Tundu Lissu

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
IMG_20170914_195131_134.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu,wema unaweka na bango,kweli CCM inaelekea kubaya,chama kubwa kama CCM ni la kujisifia mtu kuita ndege imsafirishe mtu,kumbe yawezekana hata elimu bure kwa watoto wetu kwa CCM ni msaada sio wajibu
 
Amesaidia au ajasaidia mbona hilo hamuongei mlikuwa hamna hata mia mnasubiri michango niaibu kubwa sana hii
 
Huyu mwanachama amekana hayo wanayomsingizia. Hata hivyo kama wanataka tuamini wanavyotaka wakumbuke maneno ya mwenyekiti wao Lema alipokuwa kisongo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom