Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 May 10, 2010 #61 Charity said: ASANTE KWA KUSHUKURU.Lakini kumbuka kanuni hii kuwa UKITOA NDIPO UNAPOKEA.Ninamaanisha kuwa ule Upendo wako Unaoonyesha/Kutoa Kwa watu ndio na wewe Mungu anakurudishia kwa namna aijuayo YEYE.Zidi kubarikiwa na amani ya Bwana iwe nawe.1THESA 4:13-18. Click to expand... Ahasante sana. Ubarikiwe sana! bht said: siongezi wala kupunguza!!! Click to expand... Usiongeze wala kupunguza mamushka, utaharibu. klorokwini said: duh! pole sana jibaba. Click to expand... Shukrani jikaka KABAZI said: Pole X-Pin. Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina la bwana lihimidiwe! Click to expand... Amina. Aleluya!
Charity said: ASANTE KWA KUSHUKURU.Lakini kumbuka kanuni hii kuwa UKITOA NDIPO UNAPOKEA.Ninamaanisha kuwa ule Upendo wako Unaoonyesha/Kutoa Kwa watu ndio na wewe Mungu anakurudishia kwa namna aijuayo YEYE.Zidi kubarikiwa na amani ya Bwana iwe nawe.1THESA 4:13-18. Click to expand... Ahasante sana. Ubarikiwe sana! bht said: siongezi wala kupunguza!!! Click to expand... Usiongeze wala kupunguza mamushka, utaharibu. klorokwini said: duh! pole sana jibaba. Click to expand... Shukrani jikaka KABAZI said: Pole X-Pin. Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina la bwana lihimidiwe! Click to expand... Amina. Aleluya!
Lily Flower JF-Expert Member Oct 16, 2009 2,553 1,197 May 10, 2010 #62 Pole kaka Mungu akupe faraja katika hiki kipindi kigumu.
M-bongotz JF-Expert Member Jan 7, 2010 1,734 405 May 10, 2010 #63 R.I.P baba mdogo.,May the Lord Almighty rest his soul in eternal place...AMEN