Taarifa ya msiba:baba mdogo wa rafiki yetu x-pin afariki dunia

ASANTE KWA KUSHUKURU.Lakini kumbuka kanuni hii kuwa UKITOA NDIPO UNAPOKEA.Ninamaanisha kuwa ule Upendo wako Unaoonyesha/Kutoa Kwa watu ndio na wewe Mungu anakurudishia kwa namna aijuayo YEYE.Zidi kubarikiwa na amani ya Bwana iwe nawe.1THESA 4:13-18.
Ahasante sana. Ubarikiwe sana!

siongezi wala kupunguza!!!
Usiongeze wala kupunguza mamushka, utaharibu.
duh! pole sana jibaba.
Shukrani jikaka

Pole X-Pin. Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina la bwana lihimidiwe!
Amina. Aleluya!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom