Taarifa ya msiba:baba mdogo wa rafiki yetu x-pin afariki dunia

Pole sana xpin. Mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki. Kifo cha mzee wetu kitykumbushe zawadi yamaisha tuliyopewa bure.
Katika upendo ndipo ilipo furaha duniani.
RIP MZEE WETU.
 
Pole sana Mhe. Xpin
Mungu katika Roho Mtakatifu akupe faraja kubwa wewe na familia nzima kwa kumpoteza mpendwa wenu.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE. AMEN
 
I'm sorry to hear that Chrispin, please accept my sincere condolence to you and ur family at this difficult time... RIP
 
.........Pole sana Xpin, Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
 
Oh,nilikua sijaona hii.pole sana ndugu yangu.Mwenyezi Mungu akupe faraja pamoja na familia yako na mrafiki.Jina la bwana lihimidiwe
 
Pole sana Xpin na wote mlioguswa na msiba huu. Mungu wetu wa Faraja awafariji na kuwatia nguvu kipindi hiki kigumu.
RIP mzee wetu
 
mungu awape amani na upendo ktk kipindi iki kigumu cha msiba uyo
mungu ametwaa na bwana ametoa jina la bwana na libarikiwe
Amen
 
x pin ndo nani uyo?
Shhhhh...!
Ni mdau mkubwa sana wa hapa ndani, na anaheshimika sana!

Xpin, ni ajabu habari hizi zimenipita kushoto, ndo naona sasa...its kinda shame to me!:confused2:
Tangu JF(original) imesambaratishwa mahudhurio yetu wengi yamefifia.

Now..kuhusu Msiba, this is the worst news iam hearing again in this year!
Binafsi nimestushwa na kufadhaishwa sana, maana najua u will not be the same person!

Lakini amini kuwa tuko pamoja kiroho, na kazi tunayofanya sasa ni kumwomba Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi!
Zaidi sana, tunatakiwa kupata somo kuwa maisha yetu ni kama maua!

Basi MUNGU wa mbinguni na akufariji zaidi, maana ajua kipimo cha maumivu usikiayo!

Tuimbe Wimbo huu:
1. Tutakufa hayo kweli,
Ni hakika neno hili.,
Amri ya Mungu mwenyezi,
Haikanushwi ni wazi.

2. Mfano wetu ndio ua,
Leo sasa lachanua,
Lapendeza zuri huko,
Siku ya pili halipo.
 
Dah..PJ apo kwen huo wimbo umenikumbusha mbali sana...ukiwakuta enzi hizo wazee wanaimba kwenye msiba,,,,,,,,,siye wadogo yaani unajifeel kweli kwamba huu msiba!
 
Wakuu WanaJF wapwa na mabinamu zangu wote:

SHUKRANI

Heshima mbele wakuu,
Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa moyo wenu wa faraja, ukarimu wenu na kunitia nguvu kwenu. Kama walivosema wengi, kumpoteza mtu unayemheshimu na uliyemtegemea sana kwa mambo mengi si jambo dogo. Ni pigo kubwa ambalo hatuna jinsi tunalazimika kulikubali.

Naomba shukrani za pekee ziwafikie ndugu zangu Geoff, Kaizer, Fidel80, Charity, Bht na Roya Roy kwa kuacha shughuli zao na kuungana nami katika msiba na hatimaye kwenye maziko yaliyofanyika siku ya Jumamosi tarehe 08/05/2010 katika makaburi ya kinondoni. Ujio wenu na rambirambi zenu zilikuwa faraja sana kwangu. Mungu aendelee kuwabariki na kuwaongezeeni moyo huo wa upendo.

Aidha, pia napenda kuwashukuru kwa namna ya pekee ndugu zangu Preta, Mwanajamii1, Firstlady1,Msindima, Nguli, Nyani Ngabu na wengineo ambao sijawataja kwa kunifariji kupitia mawasiliano ya simu. Maneno na kujali kwenu vilinifariji sana. Mbarikiwe sana.

Nawaombeni wanaJF tuendelee na upendo na umoja huu.
Ahsanteni sana kwa kujali kwenu. Nawapendeni nyote.

RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI. AMINA.
 
Wanted to say the same......
 
ASANTE KWA KUSHUKURU.Lakini kumbuka kanuni hii kuwa UKITOA NDIPO UNAPOKEA.Ninamaanisha kuwa ule Upendo wako Unaoonyesha/Kutoa Kwa watu ndio na wewe Mungu anakurudishia kwa namna aijuayo YEYE.Zidi kubarikiwa na amani ya Bwana iwe nawe.1THESA 4:13-18.
 
siongezi wala kupunguza!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom