Taarifa ya kutengua ndoa kati ya manoah na ciello

Unaweza kuleta kusudio la kukata rufaa kama unaona umeonewa!

NB: sheria haina ndugu
Siku zote mji mwema hupigwa mawe, haya mmeshinda mchukueni sasa kama mnahisi Ciello ni maji ya kunywa kwamba kila mtu anaweza kunywa...
 
What goes round comes round!!!!, wewe ndo unayejitafutia yote hayo, mzee mzima usku wa manane unakatiza na vibinti kwenye madirisha ya watu unategemea mama Ngina akae kimya tu, wamekusaidia kidogo

sema wewe Baba V nikisema mimi oh binti una nongwa
 
Last edited by a moderator:
asante ndugu yangu chezeya kuvunjiwa ndoa hata hujaiconsumate!

shemeeeji Ruttashobolwa kwa mujibu kwa sheria ya ndoa ya mwaka 1972 ndoa kama haijatumika wenyewe mnasema kuwa consumated kuna ndoa hapo?hebu mpe Ciello kifungu kabisa awe na amani ya kundeleza libeneke kati ya na Mtambuzi au Erickb52
 
Last edited by a moderator:
sema wewe Baba V nikisema mimi oh binti una nongwa

Kwa sasa nimeamua kuwanyoosha hawa watu, afu zile picha ulizowapiga zitunze vizuri zitatumika kama ushahidi mbele ya kamati ya maadili akiwepo na mama Ngina
 
Last edited by a moderator:
Siku zote mji mwema hupigwa mawe, haya mmeshinda mchukueni sasa kama mnahisi Ciello ni maji ya kunywa kwamba kila mtu anaweza kunywa...

Hakuna anayemtaka Ciello wako, cha msingi ni kutimiza vigezo na masharti
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa nimeamua kuwanyoosha hawa watu, afu zile picha ulizowapiga zitunze vizuri zitatumika kama ushahidi mbele ya kamati ya maadili akiwepo na mama Ngina

tena bora unikumbushe au nimpe Boflo kabisa manake alishanipm ili amuwahi Mbuzi Mzee kabla hajazichukua ili waweke kule kwenye jukwaa lao tukufu!au we unasemaje manake mi kwa kweli kitendo walichonifanyia juzi cha kunifotoa namna ile juzi sina hata hamu nao
 
Last edited by a moderator:
Marriage said to be void if.
* haina usajili
*kama kunandoa kati yao na haija vunjwa
*Hakukuwa na tangazo la ndoa linalo dumu muda usio pungua siku30
*hakuna mashahidi wenye umri unao zidi miaka 30
*kuna minor kati yao.

shemeeeji Ruttashobolwa kwa mujibu kwa sheria ya ndoa ya mwaka 1972 ndoa kama haijatumika wenyewe mnasema kuwa consumated kuna ndoa hapo?hebu mpe Ciello kifungu kabisa awe na amani ya kundeleza libeneke kati ya na Mtambuzi au Erickb52
 
Last edited by a moderator:
acha ushabiki mtoto wa kike!

mimi kesi zangu huwa haziishi yani ugomvi wangu nikiondoka namuachia mtu anishikie!we umelikoroga na huyo bi harusi wako lazima ulinywe na hapa timu yangu haijatimia! mwaJ, Kipipi, Madame B, King'asti hebu kujeni kipande hii kuna mtu kaingia kwenye anga zangu anamtetea Ciello,enh Ciello yule yule aliyekuwa na babake King'asti juzi usiku maeneo ya ubungo wakijiandaa kwenda nash...namnani!
 
Last edited by a moderator:
Wana jamii samahanini sana, kwa kufunga ndoa pasipo kufuata utaratibu, BABA V naomba unishauri, nianze kumuona nani ili anipe utaratibu unao takiwa.

hapa tunaweza tukaelewana! Baba V mupe utaratibu kijana naona adabu na nidhamu vinaanza kuchukua mkondo wake sahihi!
 
Last edited by a moderator:
mimi kesi zangu huwa haziishi yani ugomvi wangu nikiondoka namuachia mtu anishikie!we umelikoroga na huyo bi harusi wako lazima ulinywe na hapa timu yangu haijatimia! mwaJ, Kipipi, Madame B, King'asti hebu kujeni kipande hii kuna mtu kaingia kwenye anga zangu anamtetea Ciello,enh Ciello yule yule aliyekuwa na babake King'asti juzi usiku maeneo ya ubungo wakijiandaa kwenda nash...namnani!

Madame B tupo naye kwenye safari ya kwenda mazikoni Lushoto.. Manoah ana kismati huyo.
 
Last edited by a moderator:
mimi kesi zangu huwa haziishi yani ugomvi wangu nikiondoka namuachia mtu anishikie!we umelikoroga na huyo bi harusi wako lazima ulinywe na hapa timu yangu haijatimia! mwaJ, Kipipi, Madame B, King'asti hebu kujeni kipande hii kuna mtu kaingia kwenye anga zangu anamtetea Ciello,enh Ciello yule yule aliyekuwa na babake King'asti juzi usiku maeneo ya ubungo wakijiandaa kwenda nash...namnani!
Nakupenda rafiki yangu, so naomba unisaidie kunipa utaratibu wa kuufata ili mambo yawe mazuri, Mpende adui yako Kama unavyojipenda mwenywe..
 
ahahahhahhahahhahhaha leo hapa maji utaita mma!
kwanza mrejee lara 1 kwa sababu umemrusha roho na mijifixed accaount yako halafu unamwacha mdogo wangu anasotea opras kazini na huku bosi alishamkataa lakini zile juhudi ulizozionyesha jana toka juzi usiku sa hizi ah wala asingekuwa anajali!AJHWAAAAA!ANZA UPYA KUMTOKEA lara 1 tena uje na mbinu kuntu kweli kweli sio zile za mashairi mashsiri akiyataka hayo atachukua diwani ya Mloka asome au atachukua UTENDI WA FUMO LYONGO!
 
Last edited by a moderator:
mimi kesi zangu huwa haziishi yani ugomvi wangu nikiondoka namuachia mtu anishikie!we umelikoroga na huyo bi harusi wako lazima ulinywe na hapa timu yangu haijatimia! mwaJ, Kipipi, Madame B, King'asti hebu kujeni kipande hii kuna mtu kaingia kwenye anga zangu anamtetea Ciello,enh Ciello yule yule aliyekuwa na babake King'asti juzi usiku maeneo ya ubungo wakijiandaa kwenda nash...namnani!

jaman kutwa nimeshinda ndani nalia naomba mniache nijiponye hili jeraha, kwasasa nataka kuwa singo kwa muda nikijipanga so bwana manoah naomba u move on na maisha yako na wengine naomba msahau kama niliwah olewa nataka kuanza upya! Plz msinikumbushe machungu.
 
Last edited by a moderator:
ahahahhahhahahhahhaha leo hapa maji utaita mma!
kwanza mrejee lara 1 kwa sababu umemrusha roho na mijifixed accaount yako halafu unamwacha mdogo wangu anasotea opras kazini na huku bosi alishamkataa lakini zile juhudi ulizozionyesha jana toka juzi usiku sa hizi ah wala asingekuwa anajali!AJHWAAAAA!ANZA UPYA KUMTOKEA lara 1 tena uje na mbinu kuntu kweli kweli sio zile za mashairi mashsiri akiyataka hayo atachukua diwani ya Mloka asome au atachukua UTENDI WA FUMO LYONGO!
Huo, unanipa mtihani, nitaanzaje kwa Lara 1!
 
Back
Top Bottom