Taarifa ya kutengua ndoa kati ya manoah na ciello

Kichwa cha habari hapo juu chahusika, nikiwa kama mwenyekiti wa TUME YA MAHUSIANO NA NDOA hapa chit-chat nachukua fursa hii kutengua na kutangaza kutotambuliwa kwa ndoa kati ya manoah na Ciello.

Kwanza kabisa ikumbukwe kuwa kuna utaratibu ambao uliwekwa hapa jamvini ili ufuatwe kwa wanaotaka kuingia katika mahusiano na hatimaye ndoa.

Utaratibu ni kwamba kabla members hawajaanza mahusiano ni lazima wapite kwenye kamati mbalimbali ambazo ziko chini ya tume ambayo mimi ndo mwenyekiti wake, kamati hizo ni:-
i. Kamati ya screening chini ya Mamndenyi na Erickb52 ili wafanyiwe screening kuhakikisha kuwa kila member yuko free. huu ndo utaratibu walioufuata charminglady na C6 , Ronn M na jeneneke na ndio maana ndoa zao zimetulia, hawa manoah na Ciello hawajafanya hilo hivyo inaweza kuleta ugomvi baadae, kwa mfano tumeshuhudia manoah akitiririka kwa lara 1 na mashairi ya malenga wapya lakini kabla hatujajua hatma yao kaangukia kwa Ciello na ndoa juu, tunajuaje kama kesho hatarudi tena kwa lara 1 na kuleta mtafaruku hapa!?
Ciello kuna kitu na Erickb52, na vilevile kuna tuhuma kuwa ulionekana na mzee Mtambuzi dirishani kwa snowhite usiku wa manane.
ii. Pia kamati ya maadili chini ya BADILI TABIA na gfsonwin haina kumbukumbu zozote kuwa mmeshawahi kufika kwa ajili ya screening.
iii.Ofisi ya wanasheria chini ya Ruttashobolwa na Judgement hawana faili lolote linalowahusu manoah na Ciello.
iv. Kamati ya maombi chini ya Kaizer na Pombekali hawana taarifa zenu.

Kutokana na mapungufu yaliyojitokeza hapo juu nimejiridhisha kuwa hii ndoa ni batili na haina baraka za tume na natoa wito kwa wana chit-chat kutoitambua na kuifuta katika kumbukumbu zenu UNTIL FURTHER NOTICE. Rufaa iko wazi. wenu
Baba V
MWENYEKITI WA TUME YA MAHUSIANO NA NDOA CHIT-CHAT. 2012
Siku zote mji mwema hupigwa mawe, haya mmeshinda mchukueni sasa kama mnahisi Ciello ni maji ya kunywa kwamba kila mtu anaweza kunywa...
 
Natangaza kutoyatambua mahusiano yote ya cielo na lara 1 kwa wanaume wote!
Atakayeendelea nayo anajitafutia ban ya kudumu...!
Regards
b52
 
Last edited by a moderator:
naunga mkono hoja Baba V, haiwezekani watu wavutane uchochoroni, asubuhi watutangazie kuoana.....

Ciello anatakiwa mara moja kukaguliwa na Asprin, babu akisema kufuli limevunjwa manoah atashtakiwa kwa sheria za nchi...
 
Last edited by a moderator:
umeona eeh!?. njia mbili zilimshinda fisi. naomba mumshauri manoah asirudi tena kwa lara 1 wangu la sivyo anaweza akafa bila kuugua coz nipo tayari kwenda bagamoyo. mia

wewe tu na mauwezo yako,sie yetu macho
 
Last edited by a moderator:
Baba V, ubaba .... Wa bure, nakupa dk 4 uirudishe hii ndo, la sivyo wewe na RPC mtaenda sehemu moja . Sawa?

Ukiona nyani mzee......, nishakwepa vitu vizito na vyenye ncha kali visivyo na idadi, nasimamia taratibu zilizowekwa na mie sio serikali ya ccm kuwa niendeshwe kwa matamko ya akina ponda. Come and meet me!
 
We, babu nikuangalia natamani nikupeleke msitu wa pande wewe.... Ciello uko wapi?
 
Back
Top Bottom