kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,054
- 170
Jana mara baada ya kikao cha bunge wabunge wa chadema walikutana.
Je unafahamu maazimio waliyofikia?

Bila shaka moja ya ajenda ilikuwa ni kuzungumza upupu wa Shibuda alioutoa kule Bungeni, labda tutayasikia yaliyojiri.

Kuna mgogoro juu ya Baraza la Mawaziri Kivuli.
Mbowe amejaza Wachagga na wabunge wengine wa mikoa ya Kaskazini. Zitto amesema haiwezekani.
Ni mgogoro mkubwa. Dr Kitila anatarajiwa kupewa kazi nyingine ya kutafuta formula ya kuwapata.
Chama cha ajabu hiki. Ndio maana hata Mbunge wa UK aliyekuwa bungeni siku Mbowe alipoongoza maandamano ya kutoka nje hakuamini macho yake.
Mhe Naibu Spika alieleza kuwa Mbunge huyo ambaye huko kwao ni wa upinzani kama Mbowe aliuliza swali hili:-
'IS IT NORMAL IN TANZANIA FOR A POLITICAL PARTY TO COMMIT POLITICAL SUICIDE LIKE WHAT CHADEMA DID TODAY?'
Kishongo Shapata Mume? I'm Single and looking
Kama huna hoja si lazima ujaze upuuzi kwenye forum.
Hivi ni lazima uandika hata kama there is no sense on what ur writing.Kuna mgogoro juu ya Baraza la Mawaziri Kivuli.
Mbowe amejaza Wachagga na wabunge wengine wa mikoa ya Kaskazini. Zitto amesema haiwezekani.
Ni mgogoro mkubwa. Dr Kitila anatarajiwa kupewa kazi nyingine ya kutafuta formula ya kuwapata.
Chama cha ajabu hiki. Ndio maana hata Mbunge wa UK aliyekuwa bungeni siku Mbowe alipoongoza maandamano ya kutoka nje hakuamini macho yake.
Mhe Naibu Spika alieleza kuwa Mbunge huyo ambaye huko kwao ni wa upinzani kama Mbowe aliuliza swali hili:-
'IS IT NORMAL IN TANZANIA FOR A POLITICAL PARTY TO COMMIT POLITICAL SUICIDE LIKE WHAT CHADEMA DID TODAY?'
Hivi ni lazima uandika hata kama there is no sense on what ur writing.
Turudi kwenye topic wakuu.
Kuna mgogoro juu ya Baraza la Mawaziri Kivuli.
Mbowe amejaza Wachagga na wabunge wengine wa mikoa ya Kaskazini. Zitto amesema haiwezekani.
Ni mgogoro mkubwa. Dr Kitila anatarajiwa kupewa kazi nyingine ya kutafuta formula ya kuwapata.
Chama cha ajabu hiki. Ndio maana hata Mbunge wa UK aliyekuwa bungeni siku Mbowe alipoongoza maandamano ya kutoka nje hakuamini macho yake.
Mhe Naibu Spika alieleza kuwa Mbunge huyo ambaye huko kwao ni wa upinzani kama Mbowe aliuliza swali hili:-
'IS IT NORMAL IN TANZANIA FOR A POLITICAL PARTY TO COMMIT POLITICAL SUICIDE LIKE WHAT CHADEMA DID TODAY?'
Nyekundu: hayo maneno alinukuu naibu spika alipokuwa akirejea mazungumzo yao mchana wa siku ile kabla hata Chadema hawajatoka bungeni.
.