Taarifa ya kikao cha wabunge wa CDM tar 11/2/2011

Jaribu kukumbuka vizuri.
Naibu Spika alitamka maneno haya wakati akihitimisha hoja na wabunge wa cdm walikuwa bado nje.

Hilo siyo tatizo. Naibu spika alirejea mazungumzo yake na mbunge wa Uk ambaye alitamka maneno hayo kabla ya Chadema kutoka nje ya ukumbi.
 
Kuna mgogoro juu ya Baraza la Mawaziri Kivuli.

Mbowe amejaza Wachagga na wabunge wengine wa mikoa ya Kaskazini. Zitto amesema haiwezekani.

Ni mgogoro mkubwa. Dr Kitila anatarajiwa kupewa kazi nyingine ya kutafuta formula ya kuwapata.

Chama cha ajabu hiki. Ndio maana hata Mbunge wa UK aliyekuwa bungeni siku Mbowe alipoongoza maandamano ya kutoka nje hakuamini macho yake.

Mhe Naibu Spika alieleza kuwa Mbunge huyo ambaye huko kwao ni wa upinzani kama Mbowe aliuliza swali hili:-
'IS IT NORMAL IN TANZANIA FOR A POLITICAL PARTY TO COMMIT POLITICAL SUICIDE LIKE WHAT CHADEMA DID TODAY?'

you might be right!lakini jiulize ina maana kwa muda wote huu chadema waliingia bungeni bila ya kujua baraza lao la mawaziri litakuaje?think!
 
Yes, everything was a secret between the few top leaders.
Ilipovuja ndo mambo yakawa mshikemshike.
 
Kuna mgogoro juu ya Baraza la Mawaziri Kivuli.

Mbowe amejaza Wachagga na wabunge wengine wa mikoa ya Kaskazini. Zitto amesema haiwezekani.

Ni mgogoro mkubwa. Dr Kitila anatarajiwa kupewa kazi nyingine ya kutafuta formula ya kuwapata.

Chama cha ajabu hiki. Ndio maana hata Mbunge wa UK aliyekuwa bungeni siku Mbowe alipoongoza maandamano ya kutoka nje hakuamini macho yake.

Mhe Naibu Spika alieleza kuwa Mbunge huyo ambaye huko kwao ni wa upinzani kama Mbowe aliuliza swali hili:-
'IS IT NORMAL IN TANZANIA FOR A POLITICAL PARTY TO COMMIT POLITICAL SUICIDE LIKE WHAT CHADEMA DID TODAY?'

ndugu yangu naona upo kila post unaendeleza propaganda,vp mzee umeingia kwenye payroll ya kina TH mkubwa wa propaganda.Maana hii imekaa kimbeambea kwa mtu wa hadhi yako ambaye huwa unajisifu umesoma kama kwenye post ya Lema kule?Lete facts mkubwa
 
usiamini kila usikiacho. Ndungai Job alipanga kuponda. Move ya cdm ilikuwa ya ukweli. Ule ulikuwa mpango wa kuchafua tu
 
ndugu yangu naona upo kila post unaendeleza propaganda,vp mzee umeingia kwenye payroll ya kina TH mkubwa wa propaganda.Maana hii imekaa kimbeambea kwa mtu wa hadhi yako ambaye huwa unajisifu umesoma kama kwenye post ya Lema kule?Lete facts mkubwa

Sipo kwenye payroll ya yeyote. Hapa natoa mawazo yangu tu.
 
Tusupport hiki chama cha Chadema kwa sababu ndio mweleko utakoleta Taifa letu solutions na kuzuia "Violations of human dignity"
Tuna mapambano makubwa ya kushinda hata kama ccm wakijaribu kuficha tutailinda Tanzania.
 
Kuna mgogoro juu ya Baraza la Mawaziri Kivuli.

Mbowe amejaza Wachagga na wabunge wengine wa mikoa ya Kaskazini. Zitto amesema haiwezekani.

Ni mgogoro mkubwa. Dr Kitila anatarajiwa kupewa kazi nyingine ya kutafuta formula ya kuwapata.

Chama cha ajabu hiki. Ndio maana hata Mbunge wa UK aliyekuwa bungeni siku Mbowe alipoongoza maandamano ya kutoka nje hakuamini macho yake.

Mhe Naibu Spika alieleza kuwa Mbunge huyo ambaye huko kwao ni wa upinzani kama Mbowe aliuliza swali hili:-
'IS IT NORMAL IN TANZANIA FOR A POLITICAL PARTY TO COMMIT POLITICAL SUICIDE LIKE WHAT CHADEMA DID TODAY?'

Wewe ulikuwepo kwenye hicho kikao au ni Shekhe Yahaya - unatabiri?
 
Sipo kwenye payroll ya yeyote. Hapa natoa mawazo yangu tu.

kama ni juhudi binafsi kutokana na mapenzi ya chama au chuki binafsi kwa chadema unakazi kubwa nadhani unajua una deal na watu wa aina gani katika propaganda zako hii niforum ya "GreatThinkers" na penye ukweli uongo hujitenga.Kama ni mawazo yako ni kuponda chadema na kuleta uzushi.UTAWEWESEKA SANA MWAKA HUU, CHADEMA INAWAFANYA HAMLALI.
 
kishongo vipi unataka tukushonee skert ?mbona unakuwa mbea hivyo?kumbuka wa tz wa sasa siwa kudanganyika kirahisi kama unavyofikiri wewe..punguza pumba ili wana jf na wa tz wakuheshim
 
Kwa sasa mtu yeyote anayeonekana kuhatarisha move ya CDM lazima apigwe chini na afukuzwe chamani mara moja.Tunataja chama kitakachotuongoza kwenye nguvu ya umma ya kumaliza matatizo yetu.CDM wana dira na ni kimbilio la wanyonge.Tunajua wapinzani wote kwa sasa wamefunga ndoa na CCM so CDM ndiyo ukombozi wa umma.Shibuda lazima atemwe vinginevyo hatuelewi.Peopleeeeeeeeeeeeeeeees power.
 
Hata mtoa mada hajui kuna tofauti gani katika siasa za UK na TZ mhmm hivi hii ni dalili ya uvivu wa kufikiri! UK hamna kuiba kura, Hamna kung'ang'ania madaraka, Kameroon alishinda kwa kura sita, wakati watu wanamshauri Brown kuungana chama chochote kidogo ilikupata kungeza idadi ya wabunge iliaunde serikali wakati nafasi ilikuwa inaruhusu, Brown alisema haina haja, nitakuwa nimenyima wananchni haki yao ya ushindi.

Kwahiyo panua akili na macho utaone mengi labda utaelimika
 
Haina haja ya kubishana kama ni kweli amejaza wachaga itaeleweka tu si majina yataonekana then itakua the end,BIG FINISH
 
ndugu yangu naona upo kila post unaendeleza propaganda,vp mzee umeingia kwenye payroll ya kina TH mkubwa wa propaganda.Maana hii imekaa kimbeambea kwa mtu wa hadhi yako ambaye huwa unajisifu umesoma kama kwenye post ya Lema kule?Lete facts mkubwa
Kweli atakuwa kasoma kama asemavyo, maana hata STD VII pia kasoma. Tatizo atakuwa msomi wa darasa la saba.
 
Back
Top Bottom