Taarifa ya kanusho

tecnohailali

Senior Member
May 15, 2017
168
76
.." Jamani taarifa zilizozagaa mitandaoni kuwa nimeteuliwa kuwa waziri wa Nishati na Madini mzipuuze siyo za kweli.!
 
Hivi kwanini rais alianzisha mchakato wa kufukuza watumishi hewa kabla ya kupanua hospitali ya Mirembe? Ona wanakoelekea!
 
Mnamlaumu nin mleta mada? Au mmesahau kuwa Bashite ndiye kiongozi wake, sasa yeye atakuwaje
 
Back
Top Bottom