Taarifa ya habari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya habari.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Slave, May 5, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Dulugu! Adundulu! Adulugudu! Gudugudu adulugudu!! Di di di di di diiiii. Hivi sasa ni saa za njaa kamili,ifuatayo ni taarifa ya habari kutoka radio jf stereo. Msomaji ni mimi jf senior expt member.tunaanza na habari za kimataifa. MAREKANI.Rais barrack obama kapatwa mshtuko mkubwa baada ya kupigana kikumbo na adui yao no 1 ndg ossama.taarifa inasema osama akiwa ktk harakati za kugombania gari ziendazo mwenge gafla alipigwa kikumbo na mtu na alipo mtazama alimfahamu kuwa ni obama.ambae nae alikuwa anaelekea maeneo ya mkwajuni. Mpaka sasa obama yupo katika hosptal ya muhi2 amelazwa huku akiwa katundikiwa drip za ukwaju ili kumpa nguvu. Nae osama alipo hojiwa na waandishi wetu alikuwa na haya ya kusema.: oyaaah washkaji nashangaa mchizi alipo nicheki tu akapoteza network. Ila mie simaindi saana ki vile,japo msela kanipakazia ishu et kanidedisha. Ila poa mm nipo zangu huku bongo kitambo sana na ishu zangu ni pale feli nakomaa na uvuvi tu.unajua ndugu mwandishi masela wa huko mamtoni me wananimaind ile mbaya........ Oyaa ngoja nikamate mashine ya migomigo ntaenda kuunga mbele kwa mbele. NA HUO NDIO MWISHO WA taarifa.
   
 2. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nitarudiiiiiiiiiiiiiii.
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  haya kaka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Alikua anajiita Mr......(nimemsahau jina, miaka ya nyuma kidogo, km sikosei MR. Bond).......

  Na hii ni taarifa ya ajabu kutoka radio ahera mbinguni! Habari kamili.........

  Akimaliza anakuja na habari za vifo, utasikia... "ndugu mpunga wa shambani, anasikitika kutangaza kifo cha mjukuu wake Ndugu Wali, kilichotokea jana, hapo mdomoni kwa ajali ya meno. Habari ziwafikie, ndugu mchele wa hapo ghalani, ndugu ubwabwa...... shangazi wa marehemu ndugu nazi. Na jamaa wote wasiowafahamu. SIRUDII".

  He was funny. Alikua banned na serikali na kaseti zake zikatolewa sokoni..... Acha tu tumkumbuke Nyerere.........
   
 5. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Alikua anajiita Mr......(nimemsahau jina, miaka ya nyuma kidogo, km sikosei MR. Bond).......

  Na hii ni taarifa ya ajabu kutoka radio ahera mbinguni! Habari kamili.........

  Akimaliza anakuja na habari za vifo, utasikia... "ndugu mpunga wa shambani, anasikitika kutangaza kifo cha mjukuu wake Ndugu Wali, kilichotokea jana, hapo mdomoni kwa ajali ya meno. Habari ziwafikie, ndugu mchele wa hapo ghalani, ndugu ubwabwa...... shangazi wa marehemu ndugu nazi. Na jamaa wote wasiowafahamu. SIRUDII".

  He was funny. Alikua banned na serikali na kaseti zake zikatolewa sokoni..... Acha tu tumkumbuke Nyerere.........
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nimepita tu! Na sila la kusema. Mmmhhhh!!
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  ngoja nichukue miwani yangu
   
 8. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  kaka kaka .umenikumbusha.MR BOND. Jamaa mmoja anatafutwa na polisi kwa kosa la kuiba mboga jikoni atakae muona atapata zawadi ya makofi mawili papo hapo.
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mmmmmmm:a s 103:
   
 10. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  makindi endeleaaaa!!!
   
Loading...