Taarifa ya gazeti la MwanaHalisi juu ya Ben Saanane na uhalisia wa mambo

Tutalishana maneno mpaka basi.

Ukweli ni kuwa awe amefichwa na chadema au ametekwa na vyombo vya usalama,wenye uwezo na nyenzo za kutoa taarifa halisi ni serikali.

Hivyo kitendo cha serikali na vyombo vyake kama polisi,usalama wa taifa,TCRA,na uhamiaji kukaa kimya na hali wana uwezo wa kumaliza utata kwa siku moja tu kwangu mimi hili ndilo suala la kutilia shaka na ndio ilipaswa iwe habari ya kujadili na wala siyo habari ya mbowe na chadema kukaa kimya au kuzembea kuchukua hatua.

Yapaswa vyombo hivyo vitueleze vimekwama wapi?na kama kuna anayehusika kari ya mbowe na chadema tunataka vyombo hivyo ndio vituambie siyo hizi porojo tunazoambiwa kwa mfumo wa udaku
kula like mwana. Porojo nyiiingi vitendo zero.
Lakini sishangai kwani wamebobea kwenye propaganda chafu.
 
Mleta uzi unaweza kutuambia Joshua Mulundi wa afande Kova yuko wapi!!!!!

Tunajua harakati za mwigulu katika siasa za tanzania. Kuanzia Ndago hadi mapango ya Amboni.

Serikali ya ccm inatafuta justification ya kuzuia shughuli za kisiasa.
 
Wiki jana nilieleza jinsi CHADEMA ilivyojihusisha na matukio fulani katika taifa hili ili kupata huruma ya kisiasa ndani na nje ya nchi (angalia baada ya andiko hili). Nikaeleza kuwa sakata la kupotea kwa Ben ni mpango ulioratibiwa na CHADEMA ila walikosea mikakati yao. Nikasema, ni aibu kwa Ben na chama na maisha ya kisiasa kutumia mbinu za kupakazia watawala.

Sahizi gazeti la Mwanahalisi limeibuka na taarifa za kuonekana kwa Ben na kuanza kumpakazia kama kuwa anatafuta umaarufu wa kisiasa na vyeo kwa mbinu za mkato. Mimi nasema si mbinu za mkato za Ben ila mbinu za makato za CHADEMA ndo zimeingia inzi. Hakika wangefanikiwa serikali ya awamu hii ingepata kashfa kubwa na CHADEMA kuonekana mashujaa wa kuogopwa.

Kwa sasa ni ukweli usiopingika kuwa Ben hatutakuwa naye tena katika nyanja za kisiasa.

Amejiahibisha kutumika na imekuwa aibu kwake ya maisha. Hataonekana tena. Watu wengi walisema ajitokeze mwenyewe na aseme. Hakujitokeza pengine akiaminishwa kuwa chama kinatafuta mbinu mbadala za kumtoa huko alikofichwa. Bahati yake ni kuwa hajauawa!! Na kweli wangemuua kabisa!!!!

Maana kikubwa ni kusafisha taswira ya chama na si mtu. Tunajua mengi yaliyoratibiwa na CHADEMA na mwisho waliooneka mashujaa wa kutekeleza miradi hiyo walitoswa na wamebaki mashati tu mitaani

Vijana tujifunze aina ya siasa tunazozifanya. Tusitumiwe na watu ili tuonekane mashujaa wakati hatujui kesho yetu.

Ben ametoa taarifa halisi ya CHADEMA na haitafutika.

Hizi ni uzi nilizoleta wiki jana.

Jini limetoka katika kibuyu nani wa kulirudisha?

Sakata la kupotea kwa kijana mwenzetu Ben 8 linaweza kuwa doa kubwa kwa chama na maisha yeke kama anafanya maigizo
Ni kwa nini msiweke hapa hiyo taarifa badala ya kupiga maneno matupu?
Tutawaaminije bila kuona kithibiti? By the way inaweza ikawa imepikwa kama walivyopika ile ya Mkuu wa kaya kushinda ile tuzo kule Kenya wakati si kweli
 
Usilukie soma maandiko yote utaona hayo.
Ni kwa nini msiweke hapa hiyo taarifa badala ya kupiga maneno matupu?
Tutawaaminije bila kuona kithibiti? By the way inaweza ikawa imepikwa kama walivyopika ile ya Mkuu wa kaya kushinda ile tuzo kule Kenya wakati si kweli
 
Mi naona nyota nyota tu ngoja nisubiri Ben atoke anitoe tongo tongo nilizonazo sasa
 
Wiki jana nilieleza jinsi CHADEMA ilivyojihusisha na matukio fulani katika taifa hili ili kupata huruma ya kisiasa ndani na nje ya nchi (angalia baada ya andiko hili). Nikaeleza kuwa sakata la kupotea kwa Ben ni mpango ulioratibiwa na CHADEMA ila walikosea mikakati yao. Nikasema, ni aibu kwa Ben na chama na maisha ya kisiasa kutumia mbinu za kupakazia watawala.

Sahizi gazeti la Mwanahalisi limeibuka na taarifa za kuonekana kwa Ben na kuanza kumpakazia kama kuwa anatafuta umaarufu wa kisiasa na vyeo kwa mbinu za mkato. Mimi nasema si mbinu za mkato za Ben ila mbinu za makato za CHADEMA ndo zimeingia inzi. Hakika wangefanikiwa serikali ya awamu hii ingepata kashfa kubwa na CHADEMA kuonekana mashujaa wa kuogopwa.

Kwa sasa ni ukweli usiopingika kuwa Ben hatutakuwa naye tena katika nyanja za kisiasa.

Amejiahibisha kutumika na imekuwa aibu kwake ya maisha. Hataonekana tena. Watu wengi walisema ajitokeze mwenyewe na aseme. Hakujitokeza pengine akiaminishwa kuwa chama kinatafuta mbinu mbadala za kumtoa huko alikofichwa. Bahati yake ni kuwa hajauawa!! Na kweli wangemuua kabisa!!!!

Maana kikubwa ni kusafisha taswira ya chama na si mtu. Tunajua mengi yaliyoratibiwa na CHADEMA na mwisho waliooneka mashujaa wa kutekeleza miradi hiyo walitoswa na wamebaki mashati tu mitaani

Vijana tujifunze aina ya siasa tunazozifanya. Tusitumiwe na watu ili tuonekane mashujaa wakati hatujui kesho yetu.

Ben ametoa taarifa halisi ya CHADEMA na haitafutika.

Hizi ni uzi nilizoleta wiki jana.

Jini limetoka katika kibuyu nani wa kulirudisha?

Sakata la kupotea kwa kijana mwenzetu Ben 8 linaweza kuwa doa kubwa kwa chama na maisha yeke kama anafanya maigizo

Kimsingi ulichoandika kuhusu CDM na Ben saa8, hakina tofauti na unachokifanya wewe na dhima nzima ya post yako. Yaani hakuna ushahidi wa unachokisema na ukiambiwa uthibitishe utaanza bra bra...na vivohivyo kwa CDM. So wote nyinyi ni opportunists, watu wa siasa za majitaka na propaganda za uongo uongo kufanikisha mnachhokitaka.

Ujinga wenu unawadanganya kwamba wa tz ni wajinga sana So u may play our minds whenever u wish.
 
Comedown man and understand the issue. I will never become opportunistic for nothing but I shall stand with my own minds to make the world good place for you and others.

Tell Mr. Mbowe to free your minds and you will be able to the world.
Kimsingi ulichoandika kuhusu CDM na Ben saa8, hakina tofauti na unachokifanya wewe na dhima nzima ya post yako. Yaani hakuna ushahidi wa unachokisema na ukiambiwa uthibitishe utaanza bra bra...na vivohivyo kwa CDM. So wote nyinyi ni opportunists, watu wa siasa za majitaka na propaganda za uongo uongo kufanikisha mnachhokitaka.

Ujinga wenu unawadanganya kwamba wa tz ni wajinga sana So u may play our minds whenever u wish.
 
Hiyo Waache Waandamane ilikuwa wakati wa Jk Siku hizi Kama Wana dukuduku wanaishia kutengeneza Tishert na Hashtag za kueleza hisia. Hakuna wa kutumbukiza Kwato yake barabarani kuandamana !
Wanafahamu kua wakitia pua barabarani watajua ni kwanini kisigino hakikai mbele.
 
Back
Top Bottom