Taarifa ya gazeti la MwanaHalisi juu ya Ben Saanane na uhalisia wa mambo

Kwahyo mnashindwa nn kuleta huo ushahidi wa kubenea kwamba Ben.kaonekana?upuuz kama.Huu unatusaidia nn kama taifa?
 
Jalada limefunguliwa polisi that mean kesi ipo chini ya uchunguzi
kwa maana hio hii taarifa iltakiwa itolewe na polisi sio nyie
kwamba nyie nna Intel kali kuliko polisi/serkal?

Anyway dili lenu dilidirisha lmebuma.....
Kama kawaida yenu kumsingiZia mbowe /chadema
=bomu olasity na mtt aliipigwa risasi
=mauaji na acd igunga
=mawazo
=wangwe
##tunamtaka beni akiwa hai #
Watanzania tuskubali cheap propaganda kama hizi
 
Kwa maana hiyo kubenea ndo anatakiwa aandike katika kale kapeperushi ka chama?
Jalada limefunguliwa polisi that mean kesi ipo chini ya uchunguzi
kwa maana hio hii taarifa iltakiwa itolewe na polisi sio nyie
kwamba nyie nna Intel kali kuliko polisi/serkal?

Anyway dili lenu dilidirisha lmebuma.....
Kama kawaida yenu kumsingiZia mbowe /chadema
=bomu olasity na mtt aliipigwa risasi
=mauaji na acd igunga
=mawazo
=wangwe
##tunamtaka beni akiwa hai #
Watanzania tuskubali cheap propaganda kama hizi
 
Halafu unatumia ID ya Ufipa Kinondoni (mtaa na mahali zilipo ofisi za makao makuu ya CHADEMA) nadhani ili uonekane ni mtu kutoka ofisi hizo kuwa just a coward from mama wa kambo CCM!!

Sasa si uwaambie hao wanao deal na mambo ya upelelezi ku - deal na hao "watafuta huruma za kisiasa??"

Na inawezekana wewe unayelalamika ni ofisa wa polisi tena kitengo cha upelelezi......tukueleweje lakini??

Please, fanyeni kazi zenu na kama ni kulazimika kuishitaki CHADEMA kwa hili, si washtakini wote????

Uhalifu si ni uhalifu tu, au.....??
 
So what,Waambieni Jamaa wamkamate Kubenea au watumie taarifa yake kama input kwenye intelijensia yao Maana walisema wanakaribisha Taarifa kutoka kwa watu.
Sijajua bado Mantiki ya kuleta huu uzi.
Ungeonekana U Mzima Kichwani kama uzi wako ungeuelekeza kwa Jamaa wa Intelijensia incase hawajaona bado taarifa ya Kubenea.

Please note that Mitambo yetu haiko Bongo so usitujazie Server yetu na ku Consume Bandwidth yetu for Nothing.
Mods futa hii Redundancy Story

Invisible
Bramo umeshikwa jichoni.
Unapaswa uone aibu sana...yaani na wewe unataka kuwa kinara wa kuziba uhuru wa mawazo na uhuri wa kujieleza?
Yaani unataka post zifutwe na mods kwa kuwa huzipendi na zinakosoa chadema?
We ukiwa mtawala wenye mamlaka ya nchi au waziri wa habari utafungia magazeti mangapi na TV?
Shame on you.
 
Halafu unatumia ID ya Ufipa Kinondoni (mtaa na mahali zilipo ofisi za makao makuu ya CHADEMA) nadhani ili uonekane ni mtu kutoka ofisi hizo kuwa just a coward from mama wa kambo CCM!!

Sasa si uwaambie hao wanao deal na mambo ya upelelezi ku - deal na hao "watafuta huruma za kisiasa??"

Na inawezekana wewe unayelalamika ni ofisa wa polisi tena kitengo cha upelelezi......tukueleweje lakini??

Please, fanyeni kazi zenu na kama ni kulazimika kuishitaki CHADEMA kwa hili, si washtakini wote????

Uhalifu si ni uhalifu tu, au.....??
Ben hakuna mtu anaehangaika kumtafuta. Bora mumchomoe mlikomficha
 
Tutalishana maneno mpaka basi.

Ukweli ni kuwa awe amefichwa na chadema au ametekwa na vyombo vya usalama,wenye uwezo na nyenzo za kutoa taarifa halisi ni serikali.

Hivyo kitendo cha serikali na vyombo vyake kama polisi,usalama wa taifa,TCRA,na uhamiaji kukaa kimya na hali wana uwezo wa kumaliza utata kwa siku moja tu kwangu mimi hili ndilo suala la kutilia shaka na ndio ilipaswa iwe habari ya kujadili na wala siyo habari ya mbowe na chadema kukaa kimya au kuzembea kuchukua hatua.

Yapaswa vyombo hivyo vitueleze vimekwama wapi?na kama kuna anayehusika kari ya mbowe na chadema tunataka vyombo hivyo ndio vituambie siyo hizi porojo tunazoambiwa kwa mfumo wa udaku
 
Bramo umeshikwa jichoni.
Unapaswa uone aibu sana...yaani na wewe unataka kuwa kinara wa kuziba uhuru wa mawazo na uhuri wa kujieleza?
Yaani unataka post zifutwe na mods kwa kuwa huzipendi na zinakosoa chadema?
We ukiwa mtawala wenye mamlaka ya nchi au waziri wa habari utafungia magazeti mangapi na TV?
Shame on you.
Mkuu Jozi 1 point yangu ni kwamba kama Kubenea ametoa hints za wapi Ben alipo then why tusi focus kuwaambia Polisi wamkamate Kubenea na kuwapa Full details kusaidia investigation.
Sasa hapa Mkuu which is better.
Kukomaa na Polisi wambane Kubenea au Kukomaa na Mbowe aseme wapi yupo Ben ?
 
Mkuu, taarifa yako inaonyesha kwamba una uhakika kabisa kwamba Ben alifichwa na Chadema kwa maslahi ya kisiasa ya Chadema labda na Ben yeye mwenyewe.

Mimi naomba utusaidie sisi tusioelewa ukweli wa hili jambo kwa kupeleka hii taarifa yako polisi; na ushirikiane nao kutusaidia umma kuujua ukweli na familia ya Ben kumpata ndugu yao. Asante sana Mkuu.
 
Mbowe kaamua kuanza kumtumia kubenea atafute mbinu za kumtoa Ben...kusudi kulinda heshima ya chama....ila mbowe na Genge lake wanajua Ben yupo wapi
 
Mkuu Jozi 1 point yangu ni kwamba kama Kubenea ametoa hints za wapi Ben alipo then why tusi focus kuwaambia Polisi wamkamate Kubenea na kuwapa Full details kusaidia investigation.
Sasa hapa Mkuu which is better.
Kukomaa na Polisi wambane Kubenea au Kukomaa na Mbowe aseme wapi yupo Ben ?
Nashangaa leo unashabikia Polisi kuwakamata na kuwabana waandishi wa habari.
Kwani wewe hujui hatari yakw na madhara yake?
Kwa nini uone ni sawa kumbana Kubenea kwa kutumia dola simply because story yake ina ukakasi?
Je angekuwa ameripoti jambo la hatari kwa usalama wa nchi ingekuwaje?
 
Umesoma gazeti la mwanahalisi?
Mkuu, taarifa yako inaonyesha kwamba una uhakika kabisa kwamba Ben alifichwa na Chadema kwa maslahi ya kisiasa ya Chadema labda na Ben yeye mwenyewe. Mimi naomba utusaidie sisi tusioelewa ukweli wa hili jambo kwa kupeleka hii taarifa yako polisi; na ushirikiane nao kutusaidia umma kuujua ukweli na familia ya Ben kumpata ndugu yao. Asante sana Mkuu.
 
Nashangaa leo unashabikia Polisi kuwakamata na kuwabana waandishi wa habari.
Kwani wewe hujui hatari yakw na madhara yake?
Kwa nini uone ni sawa kumbana Kubenea kwa kutumia dola simply because story yake ina ukakasi?
Je angekuwa ameripoti jambo la hatari kwa usalama wa nchi ingekuwaje?
Do whats your Point then ?
 
Mkuu mini sintokaa niamini story yeyote pamoja na hii ya kwako. Mpaka hapo Ben atakapo rudi.

Mfano Si semi story yako ni ya kweli lakini kama ndio, story kama hizi ndizo zitakazo mwingiza Ben matatani. Wanaweza wamfanyie kitu kibaya maana kujieleza kwa nini walimficha ni ngumu Sana .

Tuwe waangalifu na story kama hizi za kutunga. Mgekuja na picha yake sehemu aliopo sasa na nyie pamoja na hilo gazeti kuongea nae basi ingelekuwa vigumu kwa wao wakubwa kumfanya kitu chochote lakini hizi story zenu za Ally nacha mtampeleka pabaya Ben .
 
Back
Top Bottom