Taarifa ya gazeti la MwanaHalisi juu ya Ben Saanane na uhalisia wa mambo

Eja One

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,141
1,500
Comedown man and understand the issue. I will never become opportunistic for nothing but I shall stand with my own minds to make the world good place for you and others.

Tell Mr. Mbowe to free your minds and you will be able to the world.

Neither Mbowe Nor you, both of u find yourselves in my dustbin..Takataka kama takataka zingine tu
 

chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,963
2,000
Mkuu acha hizo!!!! Mimi si mwanasiasa hata siku moja.

Haya naandika kusaidia taifa na watu waelewe na hainijengi kwa lolote.
Unachokiandika hakilisaidii chochote taifa hili kwa sababu bado unachoandika ni hisia zako tu! Waache polisi wafanye kazi yao wao ndio wanalisaidia taifa, labda!
 

Jozi 1

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
6,559
2,000
Binafsi nimeomba ushahidi kuhusiana na taarifa ya Kubenea juu ya Ben uwekwe hapa, lakini hakuna anayethubutu kuuweka, ina maana Kubenea anasingiziwa tu, hizo taarifa hazipo.
Ushahidi gani unaotaka...si mpaka hao Mwanahalisi wautoe hadharani?
 

chikundi

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
8,162
2,000
Binafsi nimeomba ushahidi kuhusiana na taarifa ya Kubenea juu ya Ben uwekwe hapa, lakini hakuna anayethubutu kuuweka, ina maana Kubenea anasingiziwa tu, hizo taarifa hazipo.
Ushahidi upo kwenye gazeti lake na mtoa post kaweka link hapo soma
 

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,581
2,000
Ukisoma nilichoandika huko nyuma utagundua jinsi wanavyotaka kupenyeza taarifa hizo ili kuaminisha umma kuwa Ben alifanya kwa manufaa yake binafsi.
Ila kwa vile inajulikana kuwa ndo wahusika wakubwa haitasaidia. We subiri wakileta taarifa za kiujasusi za ndani ya chama.

Utashangaaaaaa!!!
Wewe wajua? Umeona stori iliyokamilika juu ya hilo?
 

randez vous

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
895
1,000
Screenshot_2017-03-20-22-14-21.png
 

Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,629
2,000
Mimi siamini kama alipotea au kutekwa ama kuuawa.
Atakuwa kafichwa na chama chake au kajificha yeye binafsi.

Mbona sijaona Mbowe akipiga kelele kama alivyo pinga kuitwa polisi na RC wa Dar?

Je familia ya Ben, mbona siwasikii au kusikika wakipiga kelele kuhusu kupotea kwake?

Vyombo vya habari vya nje wameripoti hilo jambo kuwa ujerumani wanatuma wachunguzi kuja Tanzania ila mbona, familia yake hakuna aliyesema au kuhojiwa na vyombo hivyo hasa DW wala mbowe?

Akina TL na Lema mbona wako mbele sana kumtetea Wema na issue yake ya msuba / bangi kuliko issue ya Ben?

Kwa kifupi,mimi sio mwanachama wa fifiemu au a.w.a.k.u ila kwa maswali hayo nimejihoji nikaona m4si wanajua alipo Ben au Ben binafsi amejipoteza .

Yaani Ben amejiteka mwenyewe.
 

randez vous

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
895
1,000
Kwa imani ya wachache wa zamani sana unaweza aminishwa. Hali iko wazi kuwa bango la chama chetu halionekani kama matukio mengine. Hata wazazi wake naona wanahusika na hili tukio maana hawasemi kitu mpaka sasa.
Wemebadili gia angani baada ya kushindwa vita ya vyeti sasa wamehamia huku
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom