Taarifa ya ajari morogoro leo

Nguvu moja

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
3,371
2,712
Gari ya polisi iliokuwa na askari polisi waliokuwa, wanatoka mkoani dodoma
Jioni ya leo imepata ajari mkoani morogoro
Maeneo ya mikese maseyu, baada ya kugongana uso kwa uso na noah askari sita wa polisi hali zao mbaya sana wapo.
Mahututi na watu wawili waliokuwapo kwenye.
Gari ya Noah wamefariki dunia hapo hapo Rip.
IMG-20180427-WA0181.jpg
IMG-20180427-WA0182.jpg
IMG-20180427-WA0184.jpg
 
Kama walitoka dodoma kwaajili ya sherehe za muungano Mungu awalaze pema.ila kama walitoka dodoma kuzuiya maandamano basi Mungu awaweke panapostahili
 
Ingekuwa ni haya mabasi yetu ya abiria ungesikia mwendo kasi na uzembe wa dereva!
Sijui hapo wanasemaje?
Anyways Mbuzi kafia kwa muuza supu
 
Afadhali sasa mbona mungu kawaacha weingine.ila naamini siku zingine ataongeza idadi.asante mungu wangewaua wafuasi wa mange juzi hawa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom