Taarifa: Usalama Wangu Hatarini

unaomba tukoombee, halafu unasema wanaotaka kukuua unawajua kwa majina halafu hauwataji, una maana gani??????? halafu bado uko ccccmmmm????? ni upuuzi tu???? unataka uwe sympathsized wakati hutaki kuwataja watesaji, wewe sio kamanda wala mpiganaji uko kwenye siasa as ( bandwagon). MWOGA MKUBWA, mpiganaji haogopi kifo. BORA KUFA UMESIMAMA KULIKO KUISHI UMEPIGA MAGOTI UKIOMBA MSAMAHA NA WATU WAKUOMBEE.
 
Habari hii ni ndefu sana lakini bahati mbaya mwandishi amekwepa kutiririka.
Ameweka mambo yote pamoja na inatia shaka kuhusu aunthetinticity.
Chahali alitishiwa maisha lakini angalau alitupa picha ya hata jinsi alivyozipata habari lakini kwa hii ya leo mapungufu ni mengi.
Funguka kidogo ndugu!!!!
 
mkuu mchambuzi, your post has got all the hallmarks of someone who's looking elsewhere.

is this meant to be a parting shot to CCM?

or is it me?
 
Pole sana Mchambuzi. Tunashukuru kwa taarifa, unazo sala na dua zetu kaka.

Kwa uzi wako, naomba sasa ijulikane rasmi na waziwazi kuwa CCM sasa inafanya umafia nchini kwa msaada wa kodi zetu kupitia Taasisi za Umma. Ole wetu tusipochukua hatua madhubuti mapema!
 
Pole sana Mchambuzi.

Usilazimishe kuwa kwenye mazingira hatarishi, huwakosoi ccm kwa kuwa una wachukia sana, unafanya hivyo kwa kuwa una mapenzi ya dhati dhidi ya chama ambacho hakina mapenzi ya dhati juu yako. Uamuzi ni wako. Chukua hatua.
 
Last edited by a moderator:
Chomoka huko mkuu, au sasa hivi tutasikia umeondolewa meno na kucha bila ganzi maana serikali ya ccm imekuwa ya mafia. Tunashuhudia mambo ambayo hatujawahi kuyaona katika awamu zilizo pita. Hii awamu ya nne itaacha historia ya mateso makubwa kwa waTZ, hatutaisahau awamu ya Kikwete kwa matukio ya kutisha.Yote hii sababu ya mtawala legelege
 
uongo dhambi , wataje majina na Taasisi, au ndio kuutafuta umarufu wa bei chee
 
Maneno yako ya busara sana, nitajisikia vibaya sana kukupoteza kijana kama wewe, nilitegemea vijana kama wewe wengepongezwa na kuenziwa lakini, dogo CCM imekosa mwelekeo, kwa sasa chama sio salama hata kidogo kiko mikononi mwa majambazi, mijizi, milafi na watenda maovu bila wazi wazi bila aibu, kwa sababu wanajeuri ya pesa na Dora. Kijana tumia busara uko kwenye treni iendayo speed, na umeshoona mbele reli imemeng'olewa unangoja nini ...

 
Hapo sasa naona muda wa kuzunguka na nail cutter pamoja na sindano za ganzi unawadia.

Pole sana mkuu
 
You will never have good health if you keep your mouth in the kitchen of your enemy, CCM ni adui wa watanzania drop it usije kufa kibudu, huwezi kuibadili CCM ni chama cha waovu tena the ossified orthodoxies determined to kill every good and innocent citizen of this nation.
 
Mkuu usijali au jaribu kutumia mbinu za marcossy m.a
 
Last edited by a moderator:
Wataje hadharani, la sivyo itakuwa kama unapoteza muda. Threads zako za muungano na kundi la ujamaa CCM pamoja na kucriticize CDM na CCM ... vitisho vinaweza kutoka sehemu mbalimbali.

Cha muhimu zaidi ni kuwaangalia walio karibu na wewe ... usiangalie mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…