Taarifa: Uhakiki wa vyeti vya kidato cha 4&6 kwa Walimu na Watumishi wa Umma

Daaaahhh napata waswas na falsafa ya huyu Mama kwanza naona kama vile anapwaya sana kwenye nafasi yake na sijui ni kwanini mpaka leo ameendelea kukalia kiti hicho ambacho hakimtoshi wala kufiti.Kwanza hana ubunifu yeye ubunifu wake umebase kwenye matamko na uhakiki. Hv serikali hii inayodai inawatumishi wasiozidi 600000 kwani nn inashindwa kutengeneza database ambayo itawa accomodate wafanyakazi wote kwa kufanya hivyo mbona itawatambua watumishi wote wenye vyet fake kwa ulink na NACTE , TCU na NECTA hivi kwanin wanashindwa kufanya hivyo? Sijui dhamira ya serikali ni nn? Kuwakomesha wafanyakazi wake ? Maanake huu uhakiki Usiokuwa na mwisho unatia Kinyaaa na kuzua sintofahamu nyingi kwsani huyo mama hata akiulizwa alianzia wapi na sasa yuko wapi najua lazima ashindwe kwa yupo upo tuu ofisini na hajui alifanyalo.Hv nani ametuloga nchi hii kazi imekuwani matamko yasiyo na tija au tumejazwa vinyesi vichwani mwetu. INATIA HASIRA SANA TANGU MWAKA JANA VIJANA WAMEMALIZA HAWAJAAJIRIWA ETI SABABU UHAKIKI. Miaka 5taifa linaweza likaingia kwenye historia mbaya ya kuwa Taifa la kihuni na kimalaya kwani matamko yasiyo na tija yamezid had kichefuchef. Duuuuuuuuu! Nimejisahau kumbe sina 7M ngoja niishiie hapa
Endelea mkuu tutakuchangia hiyo 7M
 
Waziri wa utumishi wa umma angella kairuki amewataka necta kuanza uhakiki wa vyeti feki nchi nzima kuanzia tarehe 10/10/2016 hadi november aliendelea kutoa maelekezo baada ya kuhakiki necta vyeti kwa watumishi wa
umma pia nacte itahakiki vyeti kwa watumishi wa umma baada ya hapo Tcu watafata kuhakiki vyeti .View attachment 414303

Waje na Zanzibar ati, jamani tunawasubiri hukuu
 
Uyu mama wizara inamshindwa sasa maana wala aeleweki anafanya mambo kwa kukurupuka tu kinacho fanyika hakieleweki
Tatizo sio TV ndugu, tatizo ni Remote ndio ina shida. Je unazisikia hata hizo TV nyingine kama zinafanya nini? Zinasubiri matukio tu, hakuna mwenye proper strategy ambaye anaandaa work plans zake na kuziombea fedha hazina kuzitekeleza. Hakuna kitu hicho.

Watu wamemezeshwa hapa kazi huku rasilimali za kufanya hizo kazi hazipo, flow ya fedha haipo. Kwa kifupi ni "remotely government".
 
Mkuu hilo swali mimi nimejiuliza, TCU au NACTE, wataweza vipi kuhakiki cheti cha UDSM, UDOM, DIT, IFM et al, wakati wao hawatoi vyeti? Kwa upande wa NECTA ni sawa, lakini siyo TCU au NACTE.
Sio wajinga hao...wanajua watakavyofanya tuaje ujuaji...
 
Aisee nimeamini watanzania licha ya kuwa wagumu kuelewa bado wana chuki au mtazamo hasi na kada ya ualimu kwa sababu licha ya tangazo kujieleza vizuri eti mtu anakwambia kwanini wataje walimu pasipo kujua kuwa kuna vyeti vya UALIMU vilivyo chini ya necta kama sijakosea ni diploma na certificate....hivyo tangazo halijakosewa ni vyeti vya FORM 4,6 & UALIMU.... kwani hapa tatizo liko wapi au tatizo ni ualimu mimi ndio nlicho kigundua kwa wengi wetu unamkuta mtu ana hali mbaya maisha magumu lakini akisikia walimu wametajwa maneno yanamtoka ilimradi aponde tu basi... Jamani ualimu ni taaluma kama taaluma nyingine....!!!
 
Serikali INA lengo zuri....lakini ifike mahali tecknologia itumike kuondoa usumbufu kwa watumishi.
Vinauli vya nenda rudi na gharama za hapa na pale vinatusumbua.
Vivuli vya vyeti vyetu wanavyo, majina yetu na nambari za vyeti vyetu. Wahakiki wafike na kufanya uhakiki kwa kulinganisha na taarifa walizonazo.... Then penye tatizo ndio waitwe hao wachache.
 
Huenda sio uhakiki, kwa maana ya kutafuta vyeti feki au wafanyalazi hewa..
. Labda serikali haikuwa na daftari la uhakika la watumishi wake. Ndio linaandaliwa hivyo.
Ni vizuri sana... Kikubwa tuelezwe ukweli.
 
Serikali irekebishe mishahara,iache kuhadaa watumishi jwa uhakiki usiokamilika.
Waendelee na uhakiki hadi 2020,huku mishara ikiwa imerekebishwa.Kuliko longolongo zinazoendelea.
Wakiwabaini wadanganyifu,washtakiwe na kurejesha fedha zote walizojikusanyia na kuisababishia serikali hasara
 
Back
Top Bottom