mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,026
- 652
duuuuh
Hii mbona iko poa!
Hata huku kwetu kwa maana ndio utaratibu.Huku kwetu watumishi wote wamehakikiwa na kupeleka vyeti vyao NIDA sijui vinahusiana?
wawe wakweli hawa panyabuku wanaoongoza. walianza na uhakiki kwa kutumia waajiri, wakafuata uhakiki kwa kutumia timu ya katibu mkuu wizara ya utumishi, wakafuata uhakiki wa kielektroniki; sasa wanataka wafanye uhakiki usiojulikana wa vyeti!!!!! hivi hakiki zote zilizopita na hii ya kielektroniki hawakagui vyeti? ama kweli tanzania tuna mapanyabuku yanaongoza
Mkuu hili ni chaka la selekali kuwakopa, kukalia haki za watumishi wake, kwani kuna vitu selikali ingedaiwa kama zoezi hili lisingalikuwepo, kinyume cha hayo ni selikali kuwa na watu wenye fikra duni walio shindwa ku plan intervention moja inayo kamata taarifa zote kisha wakaendelea ku monitor.wawe wakweli hawa panyabuku wanaoongoza. walianza na uhakiki kwa kutumia waajiri, wakafuata uhakiki kwa kutumia timu ya katibu mkuu wizara ya utumishi, wakafuata uhakiki wa kielektroniki; sasa wanataka wafanye uhakiki usiojulikana wa vyeti!!!!! hivi hakiki zote zilizopita na hii ya kielektroniki hawakagui vyeti? ama kweli tanzania tuna mapanyabuku yanaongoza
namshangaa kabisa huyu anayejiita mtumbua majipu, kuendelea kumuacha huma mama kairuki akiendelea kula mshahara wakati anatuingizia hasara watanzania kwa kuendesha hakiki nyingi tofauti zisizo na maana. kama zingekua na maana tusingekua na hakiki nyingi hivi, ingefanyika moja iliyoshiba ambyo kwanza ingeokoa pesa yetu, lakini pia ingekua na data zote zinazohitajika. huyu mama afukuzwe kazi; na kama hatafukuzwa ndani ya miezi michache iliyobaki ya mwaka huu, basi atakua ni ..de..mu.. wa mtumbua majipu. tumemchoka huyu mama mlafi, anatuharibia pesaMkuu hili ni chaka la selekali kuwakopa, kukalia haki za watumishi wake, kwani kuna vitu selikali ingedaiwa kama zoezi hili lisingalikuwepo, kinyume cha hayo ni selikali kuwa na watu wenye fikra duni walio shindwa ku plan intervention moja inayo kamata taarifa zote kisha wakaendelea ku monitor.
Tumieni maelezo ya huyu jamaa ndiyo yako sahihi la sivyo mtapotea. Ikumbukwe kwamba vyeti vyote vya form four na six vipo chini ya necta pamoja na vyuo vyote vya ualimu inchini. Kwahiyo usije ukafikiri wanakaguliwa walimu tu, bali kila aliye na cheti cha necta ukaguzi huo unamhusu
hata km ni hivyo vyeti...hii itakua mara ya pili sasa vikikaguliwa....watu wanakula night tuu...Someni hiyo barua vizuri, acheni mihemko na kukurupuka. Kinachokaguliwa ni VYETI VYA FORM 4, 6 NA VYETI VYA UALIMU. Ukaguzi utafanywa kwa watumishi WOTE
Mada yako imepotosha kiambatanisho
Usumbufu..........!!Tatizo liko wapi kama vyeti unavyo na viko safi na halali?
Hivi hili zoezi lmeghalim taifa kias gan ad sahzMhh mwishowe tutasema hii ni dili kwa maofisa husika. Kila kukicha Uhakiki, hivi mwisho lini? Juzi wanasema watatumia Vitambulisho vya Taifa, leo NECTA wamezuka na jingine jipya kabisa! Bila shaka hawa wanaohakiki wameshagundua goli lao la kujinufaisha kwa 'night allowance'.