nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,769
- 5,315
Uwe unasoma na kuelewa comment za watu kabla hujajiingiza kichwa kichwa kujibu kitu usichokijua!.....unadhani ndio nini??Sio kil
Sio kila cheti cha kitaaluma kinatolewa na NECTA. Nadhani ni Ualimu tu kama kuna taaluma nyingine sijui! Hivyo NECTA wanakagua vyeti walivyovitoa wao tu,