Taarifa rasmi ya kusitisha mgomo kutoka chama cha madaktari 10/03/2012

Tanzania ni taifa la ahadi na si taifa la mfumo. Ukweli wa maslahi ya madaktari hauwezi kupatikana katika kauli za JK wala Pinda utapatikana pale tu tutakapokuwa na taasisi huru ya kupanga mishahara ya watumishi na si vile waziri na watu wake wanavyoamua wizarani na kupanga maslahi kidogo kwa watu muhimu kama madaktari. Jambo moja juu ya mishahara linalotufanya nchi zetu zisiendelee ni kwa vile mishahara haipangwi kwa haki. Duniani kote mishahara ni 'function' ya muda mtu aliokaa darasani, hatari ya kazi anayoifanya, umuhimu wa kazi na masaa ya kazi. Lakini kwetu eti ni 'function' ya wanasiasa!!! Afrika tubadilike tusitafute mchawi wa maendeleo mahala pengine ila tukubali ukweli wa tafiti za kisayansi tutaweza kuendelea, la sivyo hakuna lolote ni udwanzi mtupu hata ahadi ya JK kwa madaktari inaweza kuisha na JK hiyo 2015 kama atafika maana anaonekana kuchoka kimawanzo na uso wake kupauka pauka.

Wewe unajuwa kuwa kesho utakuwepo? wacha 2015.
 
Madaktari ndio walioshindwa na si hao Mawaziri, nna kuhakikishia hao Mawaziri wamefunga mianya ya ubadhirifu mingi kwa madaktari na ndio sababu za kuchukiwa, hakuna zaidi. Na Ikulu wakapewa taswira kwa mbali, wameelewa kuwa huwezi kuwa na dhambi halafu ukajifanya wewe ni msafi na fulani ndio mchafu wakati hujaonesha huo uchafu wake uko wapi.

Sijasikia hao MAT wakisema Mponda au Nkya kafanya hiki na hiki na hiki kibaya na ndio sababu hatuwataki. Hawana lolote zaidi ya walitaka kuficha maovu yao Na wameoneshwa, eeeeh nyie hiki nini na hiki nini na hiki nini, sasa amuweni wenyewe mnarudi kazini na kutangaza kusitisha mgomo au mnaendelea na madai yenu ya kijinga na kubakisha yale ya awali mliokubaliana na Pinda? wenyewe wakasema basi, yaishe Mzee, sisi tunabakisha yale yale, tunaomba uyashughulikie Mzee, haya mengine yote basi, tumetubu. Unacheza na Serikali?

Je wewe umesikia huyo Nkya ama mponda akisema tuliwazuia mianya yao ndo maana wanapiga kelele? Achakufiliri kwakutumia makalio.
Hivi unge kua doctor unge weza ku muudumoa mgonjwa bila gloves? Hukusikia vile vi faa feki vyakupimia HIV vilivyo ingizwa nchini nampaka sasa hakuna tamkokua viondolewe, hii inamaana kua tunaendele kudanganywa kwenye majibu , hapo atakaye laumiwa na wananchi ni dactor na wala si serikali . Je ulisikis zile dawa feki za maleria zilizo sambazwa nchini?
Je unajua ni wamama wajawazito wangapi wanakufa sababu yakukosa vifaa vyakujifungulia?
Acha kuwatetea fikirikidogo kabla ya kusema
 
jk ameahidi kuwafukuza kazi mponda na nkya? Au ameahidi hadi lini atakuwa ameshayashuhulikia madai yetu? Atatumia utaratibu gani kuyashuhulikia, atatumia wale madalali (wahuni) wa pinda?

ukuuti ukuuti, wa meeme wa meeme. Wingila upepo wateetema............
 
Mhh for Once JK kafanya la maana na pongezi zangu kwa Madr kwa kutumia busara, hao viongozi hiyo strategy mliyoadopt kudeal nao inawatosha
 
Na alipokubali ombi la viongozi wa chadema la kutaka kumuona, hata baada ya kususa bungeni na kususia hotuba yake bungeni, akawakubalia na kukutana nao Ikulu na viongozi wa chadema walivyotoka huko wakawa hawana madai tena kuhusu katiba? au lile si la maana kwako?
 
Je wewe umesikia huyo Nkya ama mponda akisema tuliwazuia mianya yao ndo maana wanapiga kelele? Achakufiliri kwakutumia makalio.
Hivi unge kua doctor unge weza ku muudumoa mgonjwa bila gloves? Hukusikia vile vi faa feki vyakupimia HIV vilivyo ingizwa nchini nampaka sasa hakuna tamkokua viondolewe, hii inamaana kua tunaendele kudanganywa kwenye majibu , hapo atakaye laumiwa na wananchi ni dactor na wala si serikali . Je ulisikis zile dawa feki za maleria zilizo sambazwa nchini?
Je unajua ni wamama wajawazito wangapi wanakufa sababu yakukosa vifaa vyakujifungulia?
Acha kuwatetea fikirikidogo kabla ya kusema

Vifaa feki si viliingizwa wakati wa Daktari mwenzenu wa Muhimbili, au umesahau? kwanini hiyo iwe issue ya Mponda? wakati Mponda ndiye aliyevigunduwa na kuvisimamisha visitumike? sidhani kama daktari utakuwa msahaulifu kiasi hiki. Ntakukumbusha kwa ushahidi humu ukijidai umesahau.

Kufanya kazi bila gloves, si mkiletewa hizo gloves mnachukuwa box moja leo, mnakwenda nalo kliniki zenu za binfsi, siku yapili lingine na mchezo ndio huohuo. Halafu Mponda ndiye aliokosa?
 
Izi hoja zingine bana short eti Mponda kaziba mianya ya madr kula!
Ivi sio kwamba madr ndo wanaziba mianya ya Mponda kujimegea?
Cha kushukuru ni kuwa madr wamerudi kazini
 
Kosa walilofanya madaktari hawakuweka juhudi kwa wananchi wa kawaida kuelewa madai yao. Hata waandishi wa habari wengi walionekana kutokuelewa madai ya awamu ya pili ya mgomo yalikuwa yapi (achilia mbali wapotoshaji TBC). Wakati mwingine wanatakiwa kujenga mazingira ya kuvuta hisia za wananchi ziwaunge mkono vinginevyo wataonekana waasi tu.

Kabla ya kugoma kuna haja ya kusambaza propaganda ya kutosha ili kila mwananchi mpenda maendeleo aione serikali mkosaji
 
Vifaa feki si viliingizwa wakati wa Daktari mwenzenu wa Muhimbili, au umesahau? kwanini hiyo iwe issue ya Mponda? wakati Mponda ndiye aliyevigunduwa na kuvisimamisha visitumike? sidhani kama daktari utakuwa msahaulifu kiasi hiki. Ntakukumbusha kwa ushahidi humu ukijidai umesahau.

Kufanya kazi bila gloves, si mkiletewa hizo gloves mnachukuwa box moja leo, mnakwenda nalo kliniki zenu za binfsi, siku yapili lingine na mchezo ndio huohuo. Halafu Mponda ndiye aliokosa?
vipi kuhusu kukosekana kwa vitanda,oxygen,CT scan na X ray.vyote hivi madaktari hujitwisha na kupeleka kwenye kliniki zao??
 
Ndugu zangu maDr. Nimelisoma tamko lenu na na pia kusoma vyombo vya habari vya jana na leo, lakini kweli sijaelewa, labda lugha iliyotumika ni ya kidakatari zaidi hivyo haieleweki kwetu raia tusiokuwa madaktari.
Taarfifa yenu inaonyesha kwamba Rais amepokea madai yenu yote na kuahidi kuyafanyia kazi, hatukuona kama ametoa ahadi ya lini atakuwa amemaliza kuyafanyia kazi.

Pia hayajaeleweka kama madai haya aliyoyapokea Rais na kuahidi kuyafanyia kazi ni mapya ama ni yale yale ambayo motto wa mkulima Pinda aliyapokea na kuahidi kuyafanyia kazi?

Madai yenu yanabadilika kufuatana na mtu mnayekutana naye ama ni hayohayo kwa yeyote mnayekutana naye?

Madai yenu ni kwa ajili ya kutunza na kuhifadhi taaluma ya udakatari ama ni kwa maana nyingine?

Maswali yote haya yamekuja kichwani mwangu kwa kuwa, hasara iliyosababishwa na mgomo wenu ni kubwa mno.
Mwanzoni nilidhani kuwa mlistahili kabisa kugoma kwa kuwa kweli mlionyesha mapenzi makubwa na taaluma yenu, na hasa pale mlipoweza kusema kuwa mazingira yenu ya kufanyia kazi ni duni kiasi kwa kuna wagonjwa inabidi wapewe referral kwenda india, SA na kwingineko ilhali mgeweza kutoa huduma hiyo hapa nchini kama mngepatiwa vifaa sahihi kwa vile watu waliosomeshwa na taifa hili kwa kazi na matumizi ya vifaa hivyo wapo hapa nchini na kwamba kama vifaa hivyo vingepatikana hapa watanzania wengi wangetibiwa na kuokoa maisha yao. Hili ni dai la kiaatluma HONGERA SANA. NI KWELI KUNA MADR. WAZURI TU WANAOKOSA VIFAA NA KUISHIA KULIPWA MSHAHARA BILA KUFANYA KAZI WASIZOSOMEA. (HATA X-RAY TU KUNA HOSP. HAZINA)

Pia mliposema kuwa idadi ya wagonjwa inakuwa kubwa mno kiasi kwamba Dr. mmoja anashindwa kuwahudumia vyema kwa siku, hili nalo ni dai la kitaaluma, lilihitaji Serikali kuliangalia kwa makini kwa kuwa ni jukumu lake kupanua wigo wa huduma ama kuongeza njia mbadala za kuboresha afya za watu wake. NI UKWELI MTUPU HOSPITALINI WAGONJWA WANALALA ZAIDI YA MGONJWA MMOJA KWA KITANDA

Kipato kwa Dr. ni jambo muhimu kwa vile kazi ni lazima iende na dawa (KAZI NA DAWA) kazi bila mshahara bora haiendi. NI UKWELI USIOPINGIKA

Madai yote haya Mh. Pinda motto wa mkulima ailiyapokea na kukubaliana nanyi kwamba yeye na serikali yake waliyapokea na kuyafanyia kazi na mkapeana muda wa utekelezaji, na panda aliahidi na amekuwa akiahidi kutekeleza madai yenu hayo ingawa si kwa pamoja, ila kwa awamu.

Leo tena tunasikia mkiwasilisha madai yenu, sasa sijui ni yaleyale aliyopewa Pinda ama ni mengine???!!!! Sijui, sasa yanapelekwa kwa Kikwete.

Kwa hili ukweli halieleweki, ina maana kwa kipindi chote cha mgomo na maisha ya watu wengi kupotea na watu wengi kupata mateso makubwa Rais hakuwa na habari na mgomo wenu?

Makubaliano yenu na Pinda hayakuwa makubaliano yenu na serikali ya Kikwete? Pinda ameshawaeleza kinachoendelea, mtu yoyote mwenye akili timamu nisingetegemea akachukue ahadi tena kwa mwenye serikali wakati serikali hiyohiyo ilikwisha ahidi na mkakubaliana nayo na mkaendelea na kazi.

Kama ingekuwa mimi, nisingekubali kumaliza mgomo kwa ahadi nyingine ila ningekubali kwa utekelezaji mwingine kwa vile serikali ya Pinda na serikali ya Kikwete ni hiyohiyo, ambayo maDr. Hamridhiki na support yao kwenu kama maDr.

Siungi mkono mgomo kabisa, ila nachukia watu wazima kufanywa watoto wadogo, wanataaluma hamkutakiwa kuwa na maamuzi ya namna hiyo, kwenye madai na msimamo wa kweli ni lazima yawepo kwenye ukweli ili kulinda Taaluma zetu. Sina hakika kama Rais ameahidi kutatua matatizo ya vitendea kazi kama mlivyodai na wananchi tukawaunga mkono.

Nadhani Taaluma ni bora na ndiyo maana kila mtu anaipenda na kuilinda fani na taaluma yake kwa kuwa yeye ndiye anayoifahamu na kuitolea jasho.

Kila la kheri maDR. Lakini sikuelewa msimamo wenu kama kweli ni wa kitaaluma ama vinginevyo na kama mliyokubaliana na Kikwete ni tofauti na madai yenu ya msingi na wala hayatapatiwa ufumbuzi na nyinyi mkaendelea kufanya kazi kwenye mazingira yaleyale basi roho za wagonjwa waliopoteza maisha kwa ajili ya mgomo wenu hewa hazitawaacha. Na wanaoendela kuteseka kwa ajili hiyo kweli pia laana zao hazitawaacha.Ndugu zangu maDr. Nimelisoma tamko lenu na na pia kusoma vyombo vya habari vya jana na leo, lakini kweli sijaelewa, labda lugha iliyotumika ni ya kidakatari zaidi hivyo haieleweki kwetu raia tusiokuwa madaktari.

Kila la kheri maDR. Lakini sikuelewa msimamo wenu kama kweli ni wa kitaaluma ama vinginevyo na kama mliyokubaliana na Kikwete ni tofauti na madai yenu ya msingi na wala hayatapatiwa ufumbuzi na nyinyi mkaendelea kufanya kazi kwenye mazingira yaleyale basi roho za wagonjwa waliopoteza maisha kwa ajili ya mgomo wenu hewa hazitawaacha. Na wanaoendela kuteseka kwa ajili hiyo kweli pia laana zao hazitawaacha.
 
Huwezi kugoma forever,strategically,Serikali ilishazidiwa ujanja.Ndio maana Jk akaahirisha kuongelesha vikongwe na kuwaita madaktari.JK ndie aliyetafuta hii suluhu.Actually kwa upande wetu tumepata sehemu ya kupumulia.And i can tell you mgomo umehairishwa na mbeleni bado hauepukiki,hasa idadi ya madaktari inavyokua kubwa wakati serikali ikiendelea kupoteza dira na kubweteka.
 
sijui nani alitengeneza hizi pesa na kuzipa thamani kubwa kuliko utu! natamani kukutana naye ikiwezekana aziondoe. huu mgomo umeleta maafa makubwa japo vyombo vya habari havikuwa tayari sana kuripoti ki usahihi madhara yaliyo tokea poleni mliopoteza ndugu jamaa na marafiki.
 
Ndugu yangu hapo juu umeleta stori ndefu sana,tafuta nyaraka madai ya madaktari ni yaleyale, isipokua utekelezaji wake ndio ni wa mafungu.Sisi tuko chini ya chama.tunaongozwa na katiba na madai hayo yalitokana na vikao tulivyo kaa ambapo kwa maamuzi ya kidemograsia madaktari waliamua kuishinikiza serikali itekeleze madai yao ambayo pinda aliahidi kuwa yako juu ya uwezo wake na hivyo Rais ndiye mwenye mamlaka hayo.Kama mwiba umekuchoma lakini pini uliyo nayo haiwezi kuutoa lazima utafute pini inayotosha kuutoa.Ndugu yangu,nina amini umekua ukifatilia vyombo vya habari hivyo unaujua udhaifu mkubwa wa hawo mawaziri katika kushughulikia madai ya madaktari katika kuboresha sekta ya afya na afya kwa jamii. Hapo juu nimekueleza kwa nini mgomo lazima ulikua uhairishwe sio kumalizwa.Mgomo huu ulikua sio wa kutumwa hivyo waliogomo wana kitu kinacho wagusa mioyoni ambacho naamini hakiwezi kumalizwa na siasa ya maneno bila ya vitendo.
 
Wananchi waliounga mkono wako wapi?Tulisimama wenyewe,tutasimama wenyewe endeleeni kutawaliwa kibabe.Hii ni onyo kwa mawaziri wote na makatibu wote watakao simamia wizara ya afya........Lazima wawe wenye ufanisi na wazalendo....
 
Baada ya Gahwa na Juisi za tende, hizo ni ngonjera. Ukweli unabaki kuwa ukweli, madai yenu mliahidiwa pia kushughulikiwa na Pinda na yanashughulikiwa, kwa hilo hamna jipya.

Nyinyi mlikazania Mponda na Nkya wafukuzwe kazi, sasa yamewashinda ngonjera imedilika na kuwa kama watoto wadogo mnakuja eti Nkya kafukuzwa uanachama wa MAD na Mponda na Nkya ni "maadui wa madaktari" "hatuwapi ushirikiano|, Huo ni utoto na ujinga.

Mkubali tu kuwa mliyoyakuta Ikulu hamkuyategemea na yamewanyamazisha na Mponda na Nkya wanadunda kama Waziri na Naibu Waziri. Huyo ndio Jakaya Mrisho Kikwete, kaweza kuwaunganisha Wapemba na Waunguja itakuwa nyinyi?

Umewashuka.
acha ushabiki nenda kaimbe taarabu.
 
Ndugu zangu maDr. Nimelisoma tamko lenu na na pia kusoma vyombo vya habari vya jana na leo, lakini kweli sijaelewa, labda lugha iliyotumika ni ya kidakatari zaidi hivyo haieleweki kwetu raia tusiokuwa madaktari.
Taarfifa yenu inaonyesha kwamba Rais amepokea madai yenu yote na kuahidi kuyafanyia kazi, hatukuona kama ametoa ahadi ya lini atakuwa amemaliza kuyafanyia kazi.

Pia hayajaeleweka kama madai haya aliyoyapokea Rais na kuahidi kuyafanyia kazi ni mapya ama ni yale yale ambayo motto wa mkulima Pinda aliyapokea na kuahidi kuyafanyia kazi?

Madai yenu yanabadilika kufuatana na mtu mnayekutana naye ama ni hayohayo kwa yeyote mnayekutana naye?

Madai yenu ni kwa ajili ya kutunza na kuhifadhi taaluma ya udakatari ama ni kwa maana nyingine?

Maswali yote haya yamekuja kichwani mwangu kwa kuwa, hasara iliyosababishwa na mgomo wenu ni kubwa mno.
Mwanzoni nilidhani kuwa mlistahili kabisa kugoma kwa kuwa kweli mlionyesha mapenzi makubwa na taaluma yenu, na hasa pale mlipoweza kusema kuwa mazingira yenu ya kufanyia kazi ni duni kiasi kwa kuna wagonjwa inabidi wapewe referral kwenda india, SA na kwingineko ilhali mgeweza kutoa huduma hiyo hapa nchini kama mngepatiwa vifaa sahihi kwa vile watu waliosomeshwa na taifa hili kwa kazi na matumizi ya vifaa hivyo wapo hapa nchini na kwamba kama vifaa hivyo vingepatikana hapa watanzania wengi wangetibiwa na kuokoa maisha yao. Hili ni dai la kiaatluma HONGERA SANA. NI KWELI KUNA MADR. WAZURI TU WANAOKOSA VIFAA NA KUISHIA KULIPWA MSHAHARA BILA KUFANYA KAZI WASIZOSOMEA. (HATA X-RAY TU KUNA HOSP. HAZINA)

Pia mliposema kuwa idadi ya wagonjwa inakuwa kubwa mno kiasi kwamba Dr. mmoja anashindwa kuwahudumia vyema kwa siku, hili nalo ni dai la kitaaluma, lilihitaji Serikali kuliangalia kwa makini kwa kuwa ni jukumu lake kupanua wigo wa huduma ama kuongeza njia mbadala za kuboresha afya za watu wake. NI UKWELI MTUPU HOSPITALINI WAGONJWA WANALALA ZAIDI YA MGONJWA MMOJA KWA KITANDA

Kipato kwa Dr. ni jambo muhimu kwa vile kazi ni lazima iende na dawa (KAZI NA DAWA) kazi bila mshahara bora haiendi. NI UKWELI USIOPINGIKA

Madai yote haya Mh. Pinda motto wa mkulima ailiyapokea na kukubaliana nanyi kwamba yeye na serikali yake waliyapokea na kuyafanyia kazi na mkapeana muda wa utekelezaji, na panda aliahidi na amekuwa akiahidi kutekeleza madai yenu hayo ingawa si kwa pamoja, ila kwa awamu.

Leo tena tunasikia mkiwasilisha madai yenu, sasa sijui ni yaleyale aliyopewa Pinda ama ni mengine???!!!! Sijui, sasa yanapelekwa kwa Kikwete.

Kwa hili ukweli halieleweki, ina maana kwa kipindi chote cha mgomo na maisha ya watu wengi kupotea na watu wengi kupata mateso makubwa Rais hakuwa na habari na mgomo wenu?

Makubaliano yenu na Pinda hayakuwa makubaliano yenu na serikali ya Kikwete? Pinda ameshawaeleza kinachoendelea, mtu yoyote mwenye akili timamu nisingetegemea akachukue ahadi tena kwa mwenye serikali wakati serikali hiyohiyo ilikwisha ahidi na mkakubaliana nayo na mkaendelea na kazi.

Kama ingekuwa mimi, nisingekubali kumaliza mgomo kwa ahadi nyingine ila ningekubali kwa utekelezaji mwingine kwa vile serikali ya Pinda na serikali ya Kikwete ni hiyohiyo, ambayo maDr. Hamridhiki na support yao kwenu kama maDr.

Siungi mkono mgomo kabisa, ila nachukia watu wazima kufanywa watoto wadogo, wanataaluma hamkutakiwa kuwa na maamuzi ya namna hiyo, kwenye madai na msimamo wa kweli ni lazima yawepo kwenye ukweli ili kulinda Taaluma zetu. Sina hakika kama Rais ameahidi kutatua matatizo ya vitendea kazi kama mlivyodai na wananchi tukawaunga mkono.

Nadhani Taaluma ni bora na ndiyo maana kila mtu anaipenda na kuilinda fani na taaluma yake kwa kuwa yeye ndiye anayoifahamu na kuitolea jasho.

Kila la kheri maDR. Lakini sikuelewa msimamo wenu kama kweli ni wa kitaaluma ama vinginevyo na kama mliyokubaliana na Kikwete ni tofauti na madai yenu ya msingi na wala hayatapatiwa ufumbuzi na nyinyi mkaendelea kufanya kazi kwenye mazingira yaleyale basi roho za wagonjwa waliopoteza maisha kwa ajili ya mgomo wenu hewa hazitawaacha. Na wanaoendela kuteseka kwa ajili hiyo kweli pia laana zao hazitawaacha.Ndugu zangu maDr. Nimelisoma tamko lenu na na pia kusoma vyombo vya habari vya jana na leo, lakini kweli sijaelewa, labda lugha iliyotumika ni ya kidakatari zaidi hivyo haieleweki kwetu raia tusiokuwa madaktari.
Taarfifa yenu inaonyesha kwamba Rais amepokea madai yenu yote na kuahidi kuyafanyia kazi, hatukuona kama ametoa ahadi ya lini atakuwa amemaliza kuyafanyia kazi.

Pia hayajaeleweka kama madai haya aliyoyapokea Rais na kuahidi kuyafanyia kazi ni mapya ama ni yale yale ambayo motto wa mkulima Pinda aliyapokea na kuahidi kuyafanyia kazi?

Madai yenu yanabadilika kufuatana na mtu mnayekutana naye ama ni hayohayo kwa yeyote mnayekutana naye?

Madai yenu ni kwa ajili ya kutunza na kuhifadhi taaluma ya udakatari ama ni kwa maana nyingine?

Maswali yote haya yamekuja kichwani mwangu kwa kuwa, hasara iliyosababishwa na mgomo wenu ni kubwa mno.
Mwanzoni nilidhani kuwa mlistahili kabisa kugoma kwa kuwa kweli mlionyesha mapenzi makubwa na taaluma yenu, na hasa pale mlipoweza kusema kuwa mazingira yenu ya kufanyia kazi ni duni kiasi kwa kuna wagonjwa inabidi wapewe referral kwenda india, SA na kwingineko ilhali mgeweza kutoa huduma hiyo hapa nchini kama mngepatiwa vifaa sahihi kwa vile watu waliosomeshwa na taifa hili kwa kazi na matumizi ya vifaa hivyo wapo hapa nchini na kwamba kama vifaa hivyo vingepatikana hapa watanzania wengi wangetibiwa na kuokoa maisha yao. Hili ni dai la kiaatluma HONGERA SANA. NI KWELI KUNA MADR. WAZURI TU WANAOKOSA VIFAA NA KUISHIA KULIPWA MSHAHARA BILA KUFANYA KAZI WASIZOSOMEA. (HATA X-RAY TU KUNA HOSP. HAZINA)

Pia mliposema kuwa idadi ya wagonjwa inakuwa kubwa mno kiasi kwamba Dr. mmoja anashindwa kuwahudumia vyema kwa siku, hili nalo ni dai la kitaaluma, lilihitaji Serikali kuliangalia kwa makini kwa kuwa ni jukumu lake kupanua wigo wa huduma ama kuongeza njia mbadala za kuboresha afya za watu wake. NI UKWELI MTUPU HOSPITALINI WAGONJWA WANALALA ZAIDI YA MGONJWA MMOJA KWA KITANDA

Kipato kwa Dr. ni jambo muhimu kwa vile kazi ni lazima iende na dawa (KAZI NA DAWA) kazi bila mshahara bora haiendi. NI UKWELI USIOPINGIKA

Madai yote haya Mh. Pinda motto wa mkulima ailiyapokea na kukubaliana nanyi kwamba yeye na serikali yake waliyapokea na kuyafanyia kazi na mkapeana muda wa utekelezaji, na panda aliahidi na amekuwa akiahidi kutekeleza madai yenu hayo ingawa si kwa pamoja, ila kwa awamu.

Leo tena tunasikia mkiwasilisha madai yenu, sasa sijui ni yaleyale aliyopewa Pinda ama ni mengine???!!!! Sijui, sasa yanapelekwa kwa Kikwete.

Kwa hili ukweli halieleweki, ina maana kwa kipindi chote cha mgomo na maisha ya watu wengi kupotea na watu wengi kupata mateso makubwa Rais hakuwa na habari na mgomo wenu?

Makubaliano yenu na Pinda hayakuwa makubaliano yenu na serikali ya Kikwete? Pinda ameshawaeleza kinachoendelea, mtu yoyote mwenye akili timamu nisingetegemea akachukue ahadi tena kwa mwenye serikali wakati serikali hiyohiyo ilikwisha ahidi na mkakubaliana nayo na mkaendelea na kazi.

Kama ingekuwa mimi, nisingekubali kumaliza mgomo kwa ahadi nyingine ila ningekubali kwa utekelezaji mwingine kwa vile serikali ya Pinda na serikali ya Kikwete ni hiyohiyo, ambayo maDr. Hamridhiki na support yao kwenu kama maDr.

Siungi mkono mgomo kabisa, ila nachukia watu wazima kufanywa watoto wadogo, wanataaluma hamkutakiwa kuwa na maamuzi ya namna hiyo, kwenye madai na msimamo wa kweli ni lazima yawepo kwenye ukweli ili kulinda Taaluma zetu. Sina hakika kama Rais ameahidi kutatua matatizo ya vitendea kazi kama mlivyodai na wananchi tukawaunga mkono.

Nadhani Taaluma ni bora na ndiyo maana kila mtu anaipenda na kuilinda fani na taaluma yake kwa kuwa yeye ndiye anayoifahamu na kuitolea jasho.

Kila la kheri maDR. Lakini sikuelewa msimamo wenu kama kweli ni wa kitaaluma ama vinginevyo na kama mliyokubaliana na Kikwete ni tofauti na madai yenu ya msingi na wala hayatapatiwa ufumbuzi na nyinyi mkaendelea kufanya kazi kwenye mazingira yaleyale basi roho za wagonjwa waliopoteza maisha kwa ajili ya mgomo wenu hewa hazitawaacha. Na wanaoendela kuteseka kwa ajili hiyo kweli pia laana zao hazitawaacha.

acha kutoa povu na maneno mengiiiiiiii! labda km ulitaka madokta wabebe ajenda yako na siyo yao na kama kugoma ni rahisi goma na wewe.
 
Back
Top Bottom