Taarifa: "Pascal Mayalla hajafiwa na Mke"!

Status
Not open for further replies.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,203
Reaction score
128,932
Wanabodi,

Leo asubuhi, nimeamshwa na simu za pole!,

Kisa chenyewe ni hiki!.

Ni majina tuu yamefanana!.

Nawaombeni wote walionipigia simu za pole, wish me and my lovely wife, a long life!

Nampa pole wajina!.

Pascal
 
Hahahaaaaa.....na Mimi nilijua ni wewe. Nikawa navuta picha unaliaje sasaaa....
 
Huyu Paschal Mayalla...ni Huyu Mtangazaji na Member wa Humu tunaemjua? Pole kama ni ww lkn hata kama sii wewe tunawapa pole wafiwa wote.Mke anauma sana.
Hii ni moja ya pole hizo.

Pascal
 
Mkuu nilikua navuta picha yani mpaka unaoa mke aliye olewa mara mbili na kuwa na watoto wote hao ulikubaliana nalo hilo?? Anyway kama sio ww ni vizuri Mungu aendelee kukupa maisha marefu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nikajuwa nafasi ipo wazi, kumbe ni majina tu.
Mamndenyi, kwani sisi wa Kanda ya Ziwa, nafasi zinajaanga?!, ni kawaida yetu sana kwa yule mmoja wa kanisani, "lakini jasiri haachi asili", mambo mengine kiukweli sio sisi, mtatulaumu bure tuu, mambo mengine yako kwenye damu!. Nliwahi kumshauri wife, ikibidi kwenda kwa hao wataalamu wa "kutuliza!" hata kwenye chupa aniweke!.

Pascal
 
Mkuu nilikua navuta picha yani mpaka unaoa mke aliye olewa mara mbili na kuwa na watoto wote hao ulikubaliana nalo hilo?? Anyway kama sio ww ni vizuri Mungu aendelee kukupa maisha marefu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kanda yetu mwanamke kuwa na watoto hata sita, bado anaolewa tuu, tuna tatizo la kupenda kupitiliza na hatuangalii chochote!, nadhani ndilo kabila lenye wanaume wanaaongoza kupenda!.

Pascal
 
Mweeeh pole mkuu. Namuombea mkeo maisha marefu yenye ukamilifu. Pole kwa wote waliofikwa na msiba huu
 
Huo ndio uanaume bhana,
Utakuwaje na mke mmoja kama mama yako aliyekuzaa?
........Halafu akiwa hai nikimwibia ndiyo inanoga zaidi, haaaa!!!
 
Heading yako inapotosha...., ni kweli Pascal Mayalla amefiwa na mke ila sio Pascal Wewe.., ungesema Sijafiwa na mke ungeeleweka zaidi.
 
Kuna uhusiano gani kati ya [MENTION=213398]paschal mayalla na Pasco wa jf.

hebu angalia maandishi ya kwenye Tanzania Daima ya kumsifia Lorushwa na hapa jamiiforums ya kumsifia Lorushwa alafu conect dot....... hata mimi sijui
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…