muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,727
Pole Sana Lowasa best friend...
Kinachotuponza ni abundant love to give away na roho nzuri za kupindukia when it comes to love giving and sharing, as well as money using, spending and give away!, nadhani hata yule Mzee JR, japo ni wa kabila lile, ila ule mgao wa escrow ni uthibitisho kuna rafu ilichezwa, pale kuna damu ya "chapa ng'ombe!"
Pascal
Hii style ya kuanza na "Wanabodi" ni identity tosha sana!!
Mzito K, bahati nzuri tunajuana, ila mimi sijawahi kufika Monduli!, ila sijui labda mwenzangu. Kwa vile yeye na mimi is just like me and I, then na yeye atakuwa hajawahi kufika Monduli, kwa sababu angekuwa ameishafika, angeishaniambia.
Pascal
Pascal nicheki 0763184573
Hii style ya kuanza na "Wanabodi" ni identity tosha sana!!
Halaf huu uzi Pasco wa jf hajacomment kitu.