Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Hii ni moja ya pole hizo.
Pascal
Mkuu pole sana. Naomba nikukumbushe uwe makini, ID hii huwa haichangii sana so usije ukajisahau ukadhani unatumia ID ileeeeee....utaharibu! Manake kuna siku ulijisahau ulitumia ID hii mwishoni ukamalizia na 'PASKO' ile ya kizungu.