Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

mmejipanga?
 
Mbona bado kuna thread zisizo na maana au hizi zilizopo mmeona ndo hasa za maana
 

poa poa mode
 
duh itakuwa safi maana ilitaka kugeuzwa kama Facebook .. maana jukwaa lilivamiwa
 
Nia ni nzuri,tatizo ni uwezo wa kumudu thread zinazoongezeka kila saa kama uyoga!
 
Safi sana... Tena sana!! Jukwaa la great thinkers lisiwe kama kijiwe cha vilaza na wahuni
 
Tatizo lipo kwenye kujua ipi ya maana na ipi sio ya maana!
Kwa mtakaoona uzi umepost halafu haupo ujue hauna maana jipange.
Maana kuna watu wataanza kulalamika apa!
 
hii moderation ipo active kila saa au saa za kazi tu?:A S 13::A S 13::A S 13:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…