Taarifa Muhimu - MO29

Taarifa Muhimu - MO29

TAHADHARI: Polisi wanazunguka kwenye maduka ambayo yana kamera za CCTV, na kuwalazimisha watu kufuta picha zote zinazoonyesha vitendo vyao vya ukatili. Tafadhali wazalendo wenzangu tusikubali upuuzi huu. #MO29
Camera ni yangu kilichomo ndani yake ni mali yangu, nani atakuja kunipangia namna natunza kumbukumbu zangu?

Yaani nifute video za ulinzi wa Duka langu sababu ya kufurahisha washenzi. Nitawabalasa kama vibaka. Wakinambia hayo maneno na mimi nitawauliza swali moja kuwa kama wanaweza kuformat au kufactory reset simu zao, kama wataweza then na mimi nitaweza, kinyume na hapo waondoke haraka hapo ofisini kwangu.
 
Back
Top Bottom