Taarifa Kwa Wana MMU na CC wote

Na ukute anakwenda mombasa,
ndo kapotea mazima.

Muuuungu wangu Mamndenyi na Inspector Laddy! sijawasoma kabisa, yani mnamaanisha mombasa kabisa hiyo ninayoifahamu mimi!!!
 
Safar njema ila kule hakuna blah blah kama za bongo
 
Mshana jr,jiadhari na mabomu eh!
 
angalia usije uliwa na alshababu huko mana nasikia wamejazana pale kisii, kisumu, kericho labda nenda maeneo ya ukambani kule hawako sana na jitahidi uwaelewe lugha yao wanayotumia wasijekukualest tukakakumiss bure bestito wetru hapa mjengoni ila utakuwa unapatikana jf?
Napenda kuwajulisha kuwa niko kwenye taratibu za mwanzo za kuhamia nchini kenya tuombeane
 
mombasa pazuri mm nimeshawaki kuishi pale kabla ya bb kuja kwa kasi
Muuuungu wangu Mamndenyi na Inspector Laddy! sijawasoma kabisa, yani mnamaanisha mombasa kabisa hiyo ninayoifahamu mimi!!!
 

mambo nilosikia huko mombasa sina hamu,nimeahirisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…