Kwasababu umeadimika, sijui nitakuonaga lini tena nikushike hata mkono tu maana hua roho yangu inakosheka nikikuonaga ! aisee!
:thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking:............
Una wivu nawe !
mmmmhhhh!!!!!!!!
nawaona tu..kwa jicho la tatu
Punguza wivu bana, unajua ni jinsi gani nakupenda
manoah toa maelezo yaliyoshiba apa
Mpenzi najua hujasahau time ile nilokukaribisha hapa ndani,mimi kiroho safi nakuachia huyu jamaa japo hajafuata taratibu,ila huyu jamaa ni mtamu sana mwanzoni hahahahaha
.....kwakuwa maji umeyavulia nguo basi huna budi kuyaoga nawaombea tu mfanikiwe...you will always be my friend mimisa
Nawatakia kila la heri katika huo uhusiano wenu mpya.......