KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,320
Kaanze leo kusimika viongozi,usisubiri.
Yani kila mtu siku izi anatoa matamko?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/549130-mbowe-na-dr-slaa-natoa-saa-24-a-2.html
Halitasalia jiwe juu ya jiwe wasaliti wote lazima muondoke.
Nasikia ni mlinzi wa mbowe.Huyu Brigedia Nyakarungu ana wadhifa gani humo cdm?
Wewe Nyakarungu mjinga sana, tena huna akili hata kidogo, jaribu kuja mikoani kwenye ofisi za chadema uone kama hataambulia kipigo!!
sijui unaota! au unawaza kupitia ma------?
Wewe sio chadema na chadema sio wewe.
Tafuta chama chako uende huko au anzisha chako, mmeona mipango yenu ipo uchi wa mnyama na lengo lenu limejulikana, Chadema haina mwanachama yeyote anayeitwa Nyakarungu.
Watu wa hii nchi wana 'ample' time nyingi sana. Sijui ndiyo maana maendeleo ya nchi yanasuasua?
Naona usalama wa tf, zitt na mkumb wako kazini kwa mara nyingine, acheni kutufanya sisi watoto wadogo mchezo mnaocheza tumeshaujua mnatengeneza mazingira ya ajali. We are ahead in every step
issue hapa ni kuwa hawatakubali kutoka inavyoonekana na kama Bregidia alivodai wataenda mikoani wakisimika watu wao kwenye matawi ya cdm na kuwatoa wale wa Team mbowe na team slaa.Na wakiondoka wote si mtazidi kutafunana wenyewe kwa wenyewe. Dhambi ya ubaguzi itazidi kuwatafuna