Taarifa kwa umma

Taarifa kwa umma

Kwa tunaofikiri karibu tunaweza kutangaza kwamba ushindi tayari umepatikana baada ya kuwafutia usajili hawa madaktari. Ukiona mambo yako yanakwenda kama uko kwenye roller coaster ujiangalie vizuri.
Mimi naona Impact yake ni kubwa kwenye sector ya afya kuliko tunavyodhani. Kinachinisikitisha zaidi ni kuwa naona kama kuna watu wamejipanga kujitangazia ushindi kama huu nao ni mchezo wa simba na yanga. Duuh! Nchi maskini sio maskini tu, ila zina watu pia wenye mawazo ya kimaskini sana. Na sababu ya mawazo haya ya kimaskini hatutaweza kuukwepa umaskini, unless tuanze kufikiri tofauti. We have made another bog mistake....
Naililia nchi yangu Tanzania!
 
Kwa tunaofikiri karibu tunaweza kutangaza kwamba ushindi tayari umepatikana baada ya kuwafutia usajili hawa madaktari. Ukiona mambo yako yanakwenda kama uko kwenye roller coaster ujiangalie vizuri.
Mimi naona Impact yake ni kubwa kwenye sector ya afya kuliko tunavyodhani. Kinachinisikitisha zaidi ni kuwa naona kama kuna watu wamejipanga kujitangazia ushindi kama huu nao ni mchezo wa simba na yanga. Duuh! Nchi maskini sio maskini tu, ila zina watu pia wenye mawazo ya kimaskini sana. Na sababu ya mawazo haya ya kimaskini hatutaweza kuukwepa umaskini, unless tuanze kufikiri tofauti. We have made another bog mistake....

Mkuu, naomba kuungana na wewe katika hili swala.
Kwangu mimi ninalilinganisha jambo hili na mtu maskini aliyejinyima matumizi muhimu ili anunue suti nzuri apate kuivaa katika hafla mbalimbali. Lakini kwa bahati mbaya suti ilipotoka kwa dobi (dry cleaner), ikawa imerudi haijanyooshwa vizuri, vishikizo navyo vimekatika.
Kwa hasira mwenye suti akaamua kuitupa na kusema atanunua nyingine badala ya kuirekebisha, bila kujali muda na jinsi alivyojinyima hadi kupata pesa za kuinunua.

Hii ni sawa na hao matabibu ambao wamesomeshwa kwa gharama kubwa na kwa muda mrefu. Badala ya kurekebisha kasoro serikali inaona bora wasihudumu kabisa kwa matumaini kwamba itasomesha wengine. Hivi kwa mwaka Tz inazalisha wahitimu wangapi wa fani ya utabibu?
Only in Tanzania.
 
Kulikuwa na Umuhimu wa Kuwafutia usajili au Kuwafukuza kazi tu ilikuwa inatosha?

Mytake: Ni vizuri maamuzi yasiambatane na Hisia wala hasira.

Very well said. Hebu jisomee hapa chini:

The right to work has two aspects. First, the right to work may entail a
right against the state to maintain employment policies and promote
vocational training, `so that the unemployed can find suitable employ-
ment'.2 According to Rudolph, seen in this sense, the right to work `is a
guarantee of employment but not to any particular job'. It is therefore a
political goal or `programme right'.3 Secondly, there is the broad sense
regarding the right to work that represents a right of a worker against a
possible employer to be employed, and `to job security'.4
So, from the foregoing, the right to work does not require a `non-
welfare state,' such as Tanzania, to provide jobs as a direct employer (ie
the second sense).5 In this situation, `there is freedom to work or not to
work. You may even have a right to work, as we have in our Constitu-
tion, but no one has an obligation to give you work.'6 So, in countries
such as Tanzania, the right to work is not taken as absolute in practice,
even if there is a constitutional guarantee declaring it to be absolute.
For instance, in Timothi Kaare v Mara Co-operative Union,7 the Court of
Appeal of Tanzania held that the right to work `by its very nature cannot
be absolute'.
However, for `non-welfare states' it is easier to resort to the first sense
of the right by merely declaring that it is the right of every citizen to
have a job, but not to a particular job, as Rudolph points out. This kind
of declaratory right does not demand the state to have positive
obligation to provide jobs to citizens, rather it just allows a person
access to a job.
Going by the wording of the right to work and the right to earn just
remuneration in articles 22 and 23 of the Constitution of the United
Republic of Tanzania, it is apparent that the said provisions do not
impose an express positive duty on the state to fulfil them. Articles 22
and 23 on the right to work and earn equal remuneration provide that:
22 (1) Every person has the right to work.8
(2) Every citizen is entitled to equal opportunity and right on equal terms
to hold any office or discharge any function under the state authority.
23 (1) Every person, without discrimination of any kind, is entitled to remu-
neration commensurate with his work, and all persons working
according to their ability shall be remunerated according to the mea-
sures and nature of the work done.
(2) Every person who works is entitled to just remuneration.
In effect, article 22 of the Constitution of Tanzania `is framed in [a way
allowing it] to operate vis-aÁ-vis the citizenry inter se. The executive faces
little or no danger at all in its exercise.'9 Similarly, article 23, which
guarantees the right to fair remuneration, `does not, in its exercise,
impinge adversely on the privileged status of the executive in the hier-
archy of governance'.10

In contrast, the International Covenant on Economic, Social and Cul-
tural Rights (CESCR) imposes several positive obligations on the part of
the state in relation to the right to work. They include the obligation by
the state party thereto to `take appropriate steps to safeguard' the right
to work, which `includes the right of everyone to the opportunity to
gain his living by work which he freely chooses or accepts'.
11 The state
party is also obliged to take steps in order to achieve the full realisation
of this right, including providing `technical and vocational guidance
and training programmes, policies and techniques to achieve steady
economic, social and cultural development and full and productive
employment under conditions safeguarding fundamental political and
economic freedoms to the individual'.12 Under article 7, CESCR obliges
states to recognise the right of everyone to the enjoyment of just and
favourable conditions of work which......

Source- Read more on:
http://www.chr.up.ac.za/test/images/files/publications/ahrlj/ahrlj_vol07_no2_2007.pdf (Page 203)
 
BORA BORA bora bora tena waende zao watatukuta mitaa km wana leseni au hawana na LIWALO NA LIWE Sinema imeisha Stearling HAUAWI
 
Kama haya ndiyo yanatoka kwenye kisima kikuu cha ushauri kwa mkulu, Tz tuna safari ndeeeefu sana. Huwezi kuchoma moto gari kisa lina pancha wakati huo ndilo watoto wako wanalolitegemea liwapeleke shule. Kuna tabu hapa wakubwa. Je wakija wengine wakagoma tena mchezo utakuwa ndo huo huo? Lazima serikali iwe na long term na short term plan za kuondoa migogoro ya wafanyakazi sio sekta ya afya peke yake bali wote kwa ujumla. Tuseme ukweli kwa hali halisi ya maisha kwa sasa mshahara 170,000 ni mateso bila chuki
 
CDM wafungue Hospitals wawaajili maDr hawa maana CDm ndo waliwadangaywa kufanya migomo isiyokoma ....eti nchi isitawalike kama Slaa alivyoahidi.... imewarudi...
 
Professional nyingine nazo zikiingia kwenye mgogoro na serikali na wakafikia kwenye position ya Madr.Serikali mbali ya kuwafukuza kazi itawafutia pia Degree zao ili wasipate kazi mahali pengine?
 
Kama haya ndiyo yanatoka kwenye kisima kikuu cha ushauri kwa mkulu, Tz tuna safari ndeeeefu sana. Huwezi kuchoma moto gari kisa lina pancha wakati huo ndilo watoto wako wanalolitegemea liwapeleke shule

Kama tairi lina pancha zisizo kwisha unalitoa unatupa wamasai wataokota watengeneze viatu. Ndicho kilicho fanyika serikali imetoa tairi bovu sasa ni kazi yenu wanaharakati mchukue mkatengeneze viatu.
 
Kumbe interns wanakuwaga wengi sana huh? Mziki wake sasa, high time na sie wagonjwa tuanze kuandamana sasa
 
All in all, my Take Serikali ifukuze kazi kila kitu Na kila Mtu Kama inavyojiskia, AMA iwe Kwa Hisia au hasira, inyang'anye Leseni kila inayemdhania inataka kumtenda itakavyo si udaktari tu Bali hata uhandisi, udereva Na Kada zote..

Hoja yetu wananchi tusiojua MAT Wala MCT, ERB au CMC, ni Huduma.. Wakimtoa mtoa huduma mmoja Na replacement ifanyike papo hapo, mwananchi aendelee kupata Neema stahiki ya huduma husika.. Ila Kama Serikali itafukuza-fukuza bila kujali kuweka wengine kwenye huduma stahiki Basi ingawa serikali watakuwa wagonjwA wa kufikiri Lakini sisi wananchi tutakuwa mapoyoyo zaidi kwa kuridhia huyu serikali kuweka maamuzi hatari yanayotuletea madhara Na tuko kimya tu..

Wewe utakikubali hili Lakini mimi sitaliafiki. Kwenye Idadi sasa
Ya watanzania zaidi ya mil 73, kuna madaktari 15,000 nchi mzima, Sawa Na daktari mmoja kutibu umati Wa raia 4,200 Kwa siku, kisha serikali bado inataka kuwafuta kabisa hao kiduchu Kwa misingi ya hasira, vitisho vya kimaslahi??!! Wananchi tunakubali..Ni Kama Mtu akiwa Na Na ndoa korofi na wana watoto nane, nadhani kabla ya talaka (ikiwapo haja) lazima kuangalia kwanza mustakabali Wa watoto) sio unafukuzana tu .. We serikali vipi..!!

Ifike sehemu serikali zifaham Ziko hapo Kwa maslahi ya wananchi ..

Hatuungi mkono madaktari kugoma Wala hatuungi mkono maamuzi ya kikatili ya Serikali.. Wakae chini wamalize tofauti zao warejee kutibu raia wa Tanzania ..
 
Kuongezea hapo juu, maamuzi Haya yanakiuka TAMKO la Rais kwamba Kama madaktari wakiona kiasi hiki serikali inachotoa ni kidogo Basi waende kule wanakodhani kuna kiasi bora zaidi..

So labda nao wameamua kuelekea kule ambako kuna kiasi hicho bora, sasa ukiwafutia Lesen mean hutaki hata waelekee kule wanapoona ni Bora.. Kwa tafsiri nyingine ni ukatili Wa kuwaua kabisa.. Au wawe ombaomba.. Sasa Mtu akisema serikali inaua raia wake anakosea kipi???!!
 
Udhaifu wa vitendo ni outcome ya Udhaifu wa fikra............ Perplext.?
Regime change z required ASAP
 
Botwsana na nchi nyingine zinazothamini taaluma wanataratibu zao za kusajili madaktari!!!!! Get out of the darkness!!!

If they want to be slaves of their career and their country as well, let them join Botswana befor they are recognized by their local Authority..........
 
Back
Top Bottom