Taarifa kwa umma

Taarifa kwa umma

Yaani wewe ......kwa nini usijaribu kuficha upumbavu wako hata kwa dk moja tu?

Ukifikiria juu kwa juu utafikiri ni upumbavu ila ukifikiri kwa kina kuna ukweli ndani ya yake mfano halisi ni kigamboni kwa sasa ikifika saa 1 kukatiza mtaani muda wowote unaweza kukatwa mapanga na kuibiwa ambapo hawa ni wale lowasa alosema ni bomu linalosubiriwa kulipuka, badala ya kuilipukia serikali inawalipukia wananchi
 
Mimi kwa kweli siwaelewi hawa MAT hivi wanafanyakazi kwa shinikizo la serikali? Hivi kwa nini MAT iwafutie usajiri madaktari kwa kugoma kumfanyiakazi mwajiri fulani kwa swala hili serikali? Hivi kama madaktari wangegomea kumfanyia kazi Aga Khan hospital, regency hospital au TMJ nao wangefutiwa usajiri? Sasa inapowafutia usajiri madaktari maana yake inawanyima hao madaktari haki yao ya msingi ya kufanyakazi sehemu nyingine kama walivyowatumishi au wanataaluma wengine? Kama hawafai kuitumikia serikali haimaanishi kuwa hawafai pia kuwatumikia wananchi kupitia private hospitals labda km mimi sielewi huu usajiri huwa unatolewa kwa kila mwajiri mmoja mmoja anapohamia daktari. I think this is wrong!

MAT ni Medical Association of Tanzania, ni chama cha madaktari Tanzania, ni cha hiyari chenye mrengo wa kitaaluma...hakihusiki na usajali wa maDaktari wala kuwaadhibu wanpokiuka maadili...Hivyo adhau hiyo haijatolewa na MAT.

MCT ni Medical Council of Tanzania, ni baraza la maDaktari Tanzania linalosimamia usajili na kutunza maadili kwa maDaktari, ni cha lazima (lazima kila Daktari anayetibu awe amesajiliwa na kupewa leseni na MCT). Baraza hili lina dhamana ya kuadhibu madaktari wanapokiuka maadili. Ndio lililotoa adhabu hiyo. Mwenyekiti wa baraza hili ni Mganga mkuu wa serikali (Chief Medical Officer, CMO, Dr Mmbando).
 
Kwa udhaifu wa baba Mwanaasha hatagundua kuwa hiki ni kitanzi kwa serikali yake dhaifu. Tuna upungufu wa madaktari halafu hawa wachache tulio nao tunawapiga chini.
 
Sasa hawa mabwege wanatutangazia sisi UMMA tufanye nini ? Kwani sisi tumewaajiri hawa madaktari ? Pumbavu zenu.
Sisi tunachokiitaji ni Tiba> Mmewafuta kazi hili iwe nini ? Mia 300 na ushee mtawatoa wapi wengine ? Hata muajiri wa namna gani kama mwendo ni huu nao watagoma . Mnataka kkugeuza mahospitali kama shule za kata. Ndio maana wanasiasa wanaaambia kuwa watajenga hospital kila kata na nyie ******* mnakubali , nyubaafu !!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi kwa kweli siwaelewi hawa MAT hivi wanafanyakazi kwa shinikizo la serikali? Hivi kwa nini MAT iwafutie usajiri madaktari kwa kugoma kumfanyiakazi mwajiri fulani kwa swala hili serikali? Hivi kama madaktari wangegomea kumfanyia kazi Aga Khan hospital, regency hospital au TMJ nao wangefutiwa usajiri? Sasa inapowafutia usajiri madaktari maana yake inawanyima hao madaktari haki yao ya msingi ya kufanyakazi sehemu nyingine kama walivyowatumishi au wanataaluma wengine? Kama hawafai kuitumikia serikali haimaanishi kuwa hawafai pia kuwatumikia wananchi kupitia private hospitals labda km mimi sielewi huu usajiri huwa unatolewa kwa kila mwajiri mmoja mmoja anapohamia daktari. I think this is wrong!

Waliowanyan'ganya usajili wa muda sio MAT bali ni MCT ( medical council of Tanganyika) ambalo ni baraza la madactari liko chini ya wizara ya afya, MAT ni chama chao cha kitaaluma ambacho hakiko chini ya serikali.
 
kimsingi hatua hii haina matokeo kwa Taifa hili watu waliosomeshwa kwa kodi za wananchi tayari wamefuzu wanaweza kufanya kazi nchi nyingine baada ya kumaliza mafunzo ya vitendo hatua hii itazamwe upya wtu hawa wanahitajika
 
Mimi mbona mnanichanganya ? huyo Dr Mbando ana akili kweli ? Mnajua kuna watu wanaitwa Daktari lakini vichwani ni pumba mtupu . Kama tulikuwa na hawa 300 na huduma zilikuwa bado ni kubwaa na misongamano mikubwa sasa umewaondoa uunataka iwe nini ? Unasubiri wanaomaliza shule sasa na hao unadhani watafanya kazi ya kanisa ? Tanzania imeishakuwa chaka la ufisadi , kila mtu na lwake hakuna uzalendo tena nakupasha wewe Mbando , acha hawa vijana watutibu achana na siasa za maji taka za bwana Dhaifu , taifa mmeliua
 
Kwa tunaofikiri karibu tunaweza kutangaza kwamba ushindi tayari umepatikana baada ya kuwafutia usajili hawa madaktari. Ukiona mambo yako yanakwenda kama uko kwenye roller coaster ujiangalie vizuri.
Mimi naona Impact yake ni kubwa kwenye sector ya afya kuliko tunavyodhani. Kinachinisikitisha zaidi ni kuwa naona kama kuna watu wamejipanga kujitangazia ushindi kama huu nao ni mchezo wa simba na yanga. Duuh! Nchi maskini sio maskini tu, ila zina watu pia wenye mawazo ya kimaskini sana. Na sababu ya mawazo haya ya kimaskini hatutaweza kuukwepa umaskini, unless tuanze kufikiri tofauti. We have made another bog mistake....
well said mkuu!
 
Ukifikiria juu kwa juu utafikiri ni upumbavu ila ukifikiri kwa kina kuna ukweli ndani ya yake mfano halisi ni kigamboni kwa sasa ikifika saa 1 kukatiza mtaani muda wowote unaweza kukatwa mapanga na kuibiwa ambapo hawa ni wale lowasa alosema ni bomu linalosubiriwa kulipuka, badala ya kuilipukia serikali inawalipukia wananchi

Angesema mtu mwenye akili ningefikiri kwa kina Shine ila sio huyu kilaza majebere.
 
Last edited by a moderator:
MAT ni Medical Association of Tanzania, ni chama cha madaktari Tanzania, ni cha hiyari chenye mrengo wa kitaaluma...hakihusiki na usajali wa maDaktari wala kuwaadhibu wanpokiuka maadili...Hivyo adhau hiyo haijatolewa na MAT.

MCT ni Medical Council of Tanzania, ni baraza la maDaktari Tanzania linalosimamia usajili na kutunza maadili kwa maDaktari, ni cha lazima (lazima kila Daktari anayetibu awe amesajiliwa na kupewa leseni na MCT). Baraza hili lina dhamana ya kuadhibu madaktari wanapokiuka maadili. Ndio lililotoa adhabu hiyo. Mwenyekiti wa baraza hili ni Mganga mkuu wa serikali (Chief Medical Officer, CMO, Dr Mmbando).

Sasa mbona hajathubutu kuwasimamisha wale wa MOI?? Au pale maji marefu??
 
Sasa hawa mabwege wanatutangazia sisi UMMA tufanye nini ? Kwani sisi tumewaajiri hawa madaktari ? Pumbavu zenu.
Sisi tunachokiitaji ni Tiba> Mmewafuta kazi hili iwe nini ? Mia 300 na ushee mtawatoa wapi wengine ? Hata muajiri wa namna gani kama mwendo ni huu nao watagoma . Mnataka kkugeuza mahospitali kama shule za kata. Ndio maana wanasiasa wanaaambia kuwa watajenga hospital kila kata na nyie ******* mnakubali , nyubaafu !!!!!!!!!!!!!!!!!
Dr. Mbando amefanyakazi ya siasa hivyo naye afutiwe leseni ya udaktari. Mimi nadhani mgogoro ulikuwa wa kikazi hivyo serikali ilipaswa kuwafukuza kazi wale ambao wamekwenda kinyume na taratibu za utumishi lakini sio kuwafutia leseni. Hii ni dalili mbaya kuwa serikali haikuwa na dhamira ya dhati katika kulipatia suluhu suala la mgomo wa madaktari. Hapo ndipo UDHAIFU unapodhihiri, kumbukeni Kenya kulikuwa na mgomo wa madaktari na serilkali ya huko ikawafukuza wote, kilichotokea ni aibu kubwa kwa serikali Mwai Kibaka. My Take serikali isifanye mambo kwa kukomoana.........
 
MAT ni Medical Association of Tanzania, ni chama cha madaktari Tanzania, ni cha hiyari chenye mrengo wa kitaaluma...hakihusiki na usajali wa maDaktari wala kuwaadhibu wanpokiuka maadili...Hivyo adhau hiyo haijatolewa na MAT.

MCT ni Medical Council of Tanzania, ni baraza la maDaktari Tanzania linalosimamia usajili na kutunza maadili kwa maDaktari, ni cha lazima (lazima kila Daktari anayetibu awe amesajiliwa na kupewa leseni na MCT). Baraza hili lina dhamana ya kuadhibu madaktari wanapokiuka maadili. Ndio lililotoa adhabu hiyo. Mwenyekiti wa baraza hili ni Mganga mkuu wa serikali (Chief Medical Officer, CMO, Dr Mmbando).
Asante sana kwa ufafanuzi na umenipa mwanga katika kutofautisha MCT na MAT ila logic yangu iko palepale kwa maana km MCT ndio wanaotoa leseni ya madaktari ku-practice, sasa kwa nini uwaondelee leseni ambayo itawawezesha kufanya kazi ktk private hospitals? Lakini pia km hiki ni chombo cha serikali kinawakilisha masilahi ya serikali sasa iweje hiyo serikali iliyo na mgogoro na madaktari ndio wawe viranja wa kutoa hukumu? Kwa nini wasingesubiri mahakama ya kazi iamue hatima yao. Lakini pia kuna vitu viwili hapa tofauti ya kudai haki na breach of professional conducts (code of conducts), mimi binafsi sijawahi kuona mgomo wa kudai maslahi inaweza kutafsiriwa km breach of professional conducts.
 
Naona serikali wanaongoza goli 4 - 1. Magoli ya serikali yamepachikwa wavuni na Mahakama ya Kazi, Mahakama ya Kisuti, UWT na Baraza la Madaktari

as if your under 18, try to think big,do you think is that solution?
 
Kweli aliyoyasema msigwa nayo yanatimia!

Haya ni matokeo ya akili ndogo kuongoza kubwa lazima yatokee haya.

Kama mtumzima anafikiri suluhu la migomo ya madaktari ni kuwafukuza nadhani amechoka kufikiri, huku ni kupooza kwa ubongo!

Sasa matatizo ya tarudi kwa wananchi!

"Matatizo kutatuliwa na aliye yasababisha na kutegemea kitu tofauti ni uwendawazimu"
 
Ndio tatizo baraza kama hili kutokuwa chombo huru
 
Mimi kwa kweli siwaelewi hawa MAT hivi wanafanyakazi kwa shinikizo la serikali? Hivi kwa nini MAT iwafutie usajiri madaktari kwa kugoma kumfanyiakazi mwajiri fulani kwa swala hili serikali? Hivi kama madaktari wangegomea kumfanyia kazi Aga Khan hospital, regency hospital au TMJ nao wangefutiwa usajiri? Sasa inapowafutia usajiri madaktari maana yake inawanyima hao madaktari haki yao ya msingi ya kufanyakazi sehemu nyingine kama walivyowatumishi au wanataaluma wengine? Kama hawafai kuitumikia serikali haimaanishi kuwa hawafai pia kuwatumikia wananchi kupitia private hospitals labda km mimi sielewi huu usajiri huwa unatolewa kwa kila mwajiri mmoja mmoja anapohamia daktari. I think this is wrong!
Nikurekebishe mkuu hiyo siyo MAT(Medical Association of Tanzania) bali ni Tanganyika Medical Council ambao wanatumiwa na serikali
 
Kwa hiyo bado tuna Serikali ya Tanganyika? Hata hivyo, hali itakuwa mbaya kuliko ilivyokuwa. Halafu kiuchumi huwezi kumfukuza mtu uliyemgharimia kwa miaka zaidi ya kumi na tatu (ondoa 7 ya Primary) pamoja na gharama kubwa ya vifaa tiba halafu unapoteza hivi hivi? Ni nani mtaalam hapa atufanyie costing ya kumsomesha doctor mmoja then zidisha kwa idai ya hao interns halafu uniambie kweli kama tunatumia akili zetu vizuri. Kweli ni changamoto!!! Do not temper with peoples health, hasa walala hoi wasioweze kwenda Aghakan, Hindu Mandal, regency etc.
 
Back
Top Bottom