Taarifa Kwa Umma

Aliyefanya unyama na mauaji makubwa kuwahi kutokea Tanzania anajulikana. Raisi feki anawajua na alikuwa na taarifa zote. Tamaa za madaraka zimewazidi.

Wana zuga zuga tu na tume feki zisizo na meno kwenye suala kubwa kama hili.

Hii maana yake ni kwamba hawataki kuwajibika.

Na mazingara kama yale yakijirudia ataua tena na tena. Na ni lazima yajirudie tu, tusipokuwa wakweli, na kuwawajibisha kwenye hili.

Wameshakula nyama ya watu hao.

Hakuna aliye salama.
 
Tumewachoka sasa mmekuwa kama mayatima Fanyeni vitendo sio maneno kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…