Taarifa kwa umma

ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
13,764
27,134
Ukinuna uwe na sababu
1686339632267.jpg
 
Mkuu hadi wewe hujui vigezo vya mfungaji Bora iwapo watafungana idadi ya mabao?
Weka ushabiki pembeni
Hujui kila nchi inakuwa na sheria zake?

Hata CAF wanasheria zao, mfano ule mwako ambao mrisho ngasa achukue kiatu CAF, kulikuwa na wenzake watano waliofunga magoli sawa.

Lakini

Vigezo vya FIFA vinambeba Saido kutokana na uchache wa mechi, hata hivyo kunakuwa na vigezo ambavyo kama nchi inaamua kuviweka.

Ndio maana mpaka sasa hakuna kauli yeyote kutoka bodi ya ligi ila huku mtandaoni watu mshajimilikisha viatu.
 
Ona ulivyo mweupe Sasa . Hakuna kigezo Cha fifa kinachombeba mfungaji Kwa idadi ya mechi . Mtu anabebwa na muda alioutumia uwanjani 😂😂😂😂. Shida Yako hujui ila unajikutaga mjuaji
FyNGRkmX0AUazJL.jpeg
 
Back
Top Bottom