TAARIFA KWA UMMA (KWA VIJANA WASIOKUWA NA AJIRA RASMI TANZANIA)

Yaani mnaanzisha vyama vyenu kienyeji kuwafanya waso na ajira fulsa.
 
Mmeshasema kwaajili ya vijana wasio kua na ajira, bado mnawatoza hela ya fomu. Kesho mtawatoza hela za vikao.

Halafu kinachofata kijana akipata ajira, awe anawapa kiasi gani kutoka katika mshahara wake kila mwezi?

Maana huu ni udalali kama sikosei, unasetiwa uingie kwanza halafu mengine mtajuana baadae.
 
Mwenyekiti wa Chama Fyeka
Katibu wa Chama Fyeka
Mweka hazina Fyeka
Wanachama wa hicho chama Fyekelaa mbaliii
 
Back
Top Bottom