Taarifa kwa umma kutoka Chama cha Mapinduzi(CCM)

Taarifa kwa umma kutoka Chama cha Mapinduzi(CCM)

popote tutakapoona inafaa sababu mwenye mwenyekiti wa kikao hicho ndio amri jeshi mkuu na rais wa tanzania

Sawa mkuu lakini je ni sahihi kwa jengo letu la kitaifa kufanyia mikutano ya chama chake cha kisiasa? Najaribu kutafakari tu mkuu.
 
Ukiulizwa 2 + 4 =

Huwezi toa jibu lake kuwa ni mlima kilimajaro, otherwise wewe ni chizi

Tangazo kwenye Uzi huu la chama cha mapinduzi - CCM

Hao akina Mbowe, Lisu nk wanahusika Nini kwenye hicho kikao?
Wageni waalikwa ili wajifunze demokrasia!
 
hizo ni fikra zako lakini tambua huku kwetu kumetawaliwa na demokrasia ya hali ya juu sana maamuzi hutolewa kwa makubaliano ya vikao sio kama kwenu huko mtaa wa ufipa maamuzi yanatolewa na familia moja
kwa hiyo faida ya vikao vyenu ndo vinawafanya watz waishi kimasikini. msisahau kuuliza zilipo trip. 1.5
 
KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM NA HALMASHAURI KUU YA CCM View attachment 784840
Sawa.Tunamtakia kila la heri Mwenyekiti wetu katika harakati zake za kuunda CCM mpya ambayo haitavumilia uovu wa aina yeyote na influence ya mafisadi.Ni CCM mpya tu,void of ufisadi of any kind, ndiyo itakayoweza kuivusha Tanzania.Viva Dr.John Joseph Pombe Magufuli.

Finally,tunaomba chama kirudi kwa wakulima na wafanyakazi kama bendera ya chama chetu inavyo onyesha,jembe na nyundo.Wafanyibiashara wamekivuruga sana chama.
 
Taarifa ya CCM iwe ya umma?
Kwani wewe unaelewaje maana ya neno umma mkuu?Neno umma linaweza kuwa na maana ya watu wenye utaifa mmoja kwa maana ya Watanzania.Lakini neno hili pia linaweza kuwa na maana ya watu wenye imani moja,kwa mfano umma wa Waislam.Linaweza likawa pia na maana ya watu wenye itikadi moja ya kisiasa kwa mfano,umma wa wana CCM au CHADEMA.In short umma ni mkusanyiko wa watu wengi wenye something in common.Inaweza kuwa utaifa,dini au hata itikadi ya kisiasa.

Finally mkuuu,kwani kuna shida gani CCM ikitoa taarifa kwa umma wa Watanzania kwamba itafanya mkutano mkuu wa chama,Central Committee na NEC,National Executive Committee? CCM si ndiyo inayoongoza serikali kwa sasa!? Binafsi sioni kwamba kuna ubaya,nadhani ni sahihi kabisa.
 
Hamna mkuu,tunajadili nani awe mkiti baada ya Mbowe, Lissu au Sugu.Tunawafundisha nn maana ya demokrasia
Inaonyesha Mbowe anawasumbua sana, maana haipiti siku bila kumtafutia jambo! Na kwa taarifa yenu Mbowe bado yupo saaaana tu.
 
Mkuu mtatumia tena mjengo wetu wa Taifa Magogoni kwa vikao vya chama chenu? maana mm kwa utaratibu huo msije mkatutangazia kuwa hilo jengo ni mali ya chama chenu.
Tutatumia RUZUKU kukodi kama wengine!
 
Tunaanza kujua uelewa wa viongozi wetu ulivyo.
Kikao hiki sio mkutano wa adhara, iweje utangazwe hapa?
Waraka ulitokana na mkutano wa adhara mbona uliwekwa humu na Uongozi wa CHADEMA
 
Vikao vya hawa watu havijawahi kuisaidia chochote nchi hii.
 
Back
Top Bottom