Taarifa kwa umma kutoka Chama cha Mapinduzi(CCM)

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM NA HALMASHAURI KUU YA CCM
IMG-20180524-WA0002.jpg
 
Kwenda kuitikia ndioooooo kwakuwa M/kiti alishaamua anavyotaka yeye
hizo ni fikra zako lakini tambua huku kwetu kumetawaliwa na demokrasia ya hali ya juu sana maamuzi hutolewa kwa makubaliano ya vikao sio kama kwenu huko mtaa wa ufipa maamuzi yanatolewa na familia moja
 
waliohusika katika kuzihujumu mali za chama mkae mkijua hizi kuni zinaenda kuuwasha ule moto mkuu tarehe 28 na 29 mwezi huu
 
hizo ni fikra zako lakini tambua huku kwetu kumetawaliwa na demokrasia ya hali ya juu sana maamuzi hutolewa kwa makubaliano ya vikao sio kama kwenu huko mtaa wa ufipa maamuzi yanatolewa na familia moja

Serikali ya Magufuli uelewe sasa jamani
 
kwahiyo wewe ushajua hata ajenda za kikao sio acha kupalamia gari

Ukiulizwa 2 + 4 =

Huwezi toa jibu lake kuwa ni mlima kilimajaro, otherwise wewe ni chizi

Tangazo kwenye Uzi huu la chama cha mapinduzi - CCM

Hao akina Mbowe, Lisu nk wanahusika Nini kwenye hicho kikao?
 
unamaana gani

Ujuwe kufikiria na kuona kwa jicho la 3 hapo kwenye tangu hujasema ukweli, nimesema, nimeamua, sishauriwi nk

Egnecious said:

Back
Top Bottom