MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,716
- 21,925
Tunajadili la baaada ya Mbowe hilo la baada ya Lissu tunamwachia mkono wa damu Lwakatate na MboweMNAKWENDA KUJADILI NANI ANAFUATA BAADA YA LISU
Tunajadili la baaada ya Mbowe hilo la baada ya Lissu tunamwachia mkono wa damu Lwakatate na MboweMNAKWENDA KUJADILI NANI ANAFUATA BAADA YA LISU
Mkosoe mkiti Magufuli ukione cha moto kama hujaokotwa koko bichi kwenye kiroba.hizo ni fikra zako lakini tambua huku kwetu kumetawaliwa na demokrasia ya hali ya juu sana maamuzi hutolewa kwa makubaliano ya vikao sio kama kwenu huko mtaa wa ufipa maamuzi yanatolewa na familia moja
Na mapato na matumizi ya mradi wa ununuzi wa madiwaniMNAKWENDA KUJADILI NANI ANAFUATA BAADA YA LISU
Hamna mkuu,tunajadili nani awe mkiti baada ya Mbowe, Lissu au Sugu.Tunawafundisha nn maana ya demokrasia
KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM NA HALMASHAURI KUU YA CCM View attachment 784840
Tunaanza kujua uelewa wa viongozi wetu ulivyo.KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM NA HALMASHAURI KUU YA CCM View attachment 784840
HATA MIMI!!!!!!!Mimi nilifikiri mnaenda kuwajadili wakina bulembo
popote tutakapoona inafaa sababu mwenye mwenyekiti wa kikao hicho ndio amri jeshi mkuu na rais wa tanzaniaMkuu mtatumia tena mjengo wetu wa Taifa Magogoni kwa vikao vya chama chenu? maana mm kwa utaratibu huo msije mkatutangazia kuwa hilo jengo ni mali ya chama chenu.