Taarifa kwa umma kuhusu uteuzi wa waombaji wa udahili wa kozi za Astashahada na Stashahada

hashimrashidy

Senior Member
Sep 11, 2015
197
145
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WAOMBAJI WA UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA AWAMU YA MACHI / APRILI, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017

Baraza linapenda kuwaarifu waombaji wa kozi za Astashahada na Stashahada; na umma kwa ujumla kuwa, matokeo kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali yametangazwa.........BONYEZA HAPA KUPATA TAARIFA KAMILI
indexD.png
 
hivi uombaji wa nafasi za chuo unaanza tena lini make tumechoka kukaa home kila siku et na usawa huu wa amko magu
 
Back
Top Bottom