Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU KESI DHIDI YA LIPUMBA NA WENZAKE:
Taasisi ya THE Civic United Front (CUF-Chama Cha Wananchi) inapenda kuwajulisha wanachama, wapenzi wa CUF na watanzania wote kwa ujumla wapenda mabadiliko nchini kuwa shauri lililofunguliwa na Bodi ya wadhamini ya CUF
(THE REGISTERED TRUSTEES OF THE CIVIC UNITED FRONT(CUF-CHAMA CHA WANANCHI) dhidi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini (THE REGISTRAR OF THE POLITICAL PARTIES)-1,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (THE HONOURABLE ATTORNEY GENERAL)-2,
Prof Ibrahim Haruna Lipumba-3,
Magdalena Sakaya-4,
Maftaha Nachuma-5,
Abdul Kambaya-6,
Masudi Omari Mhina-7,
Thomas Malima-8,
Kapasha H. Kapasha-9,
Musa Haji Kombo-10,
Habibu Mnyaa-11,
Na haroub Shamis-12.
Itatajwa kwa mara ya kwanza kesho tarehe 10 NOVEMBER, 2016 katika Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam mbele ya Jaji KIHIYO. Tunawaomba wanachama na wapenzi wa Taasisi yetu kujitokeza kwa wingi kuwasindikiza viongozi wetu kuhudhuria kesi hiyo kesho saa 3 kamili asubuhi tuwe tumefika Mahakama Kuu.
CUF TAASISI IMARA, CUF NGANGARI,
HAKI SAWA KWA WOTE
Maharagande
KNMHUMU