Taarifa kwa umma kuhusu kesi ya Lipumba na wenzake

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,896
TAARIFA KWA UMMA

KUHUSU KESI DHIDI YA LIPUMBA NA WENZAKE:

Taasisi ya THE Civic United Front (CUF-Chama Cha Wananchi) inapenda kuwajulisha wanachama, wapenzi wa CUF na watanzania wote kwa ujumla wapenda mabadiliko nchini kuwa shauri lililofunguliwa na Bodi ya wadhamini ya CUF
(THE REGISTERED TRUSTEES OF THE CIVIC UNITED FRONT(CUF-CHAMA CHA WANANCHI) dhidi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini (THE REGISTRAR OF THE POLITICAL PARTIES)-1,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (THE HONOURABLE ATTORNEY GENERAL)-2,
Prof Ibrahim Haruna Lipumba-3,
Magdalena Sakaya-4,
Maftaha Nachuma-5,
Abdul Kambaya-6,
Masudi Omari Mhina-7,
Thomas Malima-8,
Kapasha H. Kapasha-9,
Musa Haji Kombo-10,
Habibu Mnyaa-11,
Na haroub Shamis-12.

Itatajwa kwa mara ya kwanza kesho tarehe 10 NOVEMBER, 2016 katika Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam mbele ya Jaji KIHIYO. Tunawaomba wanachama na wapenzi wa Taasisi yetu kujitokeza kwa wingi kuwasindikiza viongozi wetu kuhudhuria kesi hiyo kesho saa 3 kamili asubuhi tuwe tumefika Mahakama Kuu.

CUF TAASISI IMARA, CUF NGANGARI,

HAKI SAWA KWA WOTE

Maharagande
KNMHUMU
 
CUF inaigiza siasa.
Vyama vya Upinzani Tanzania vimeshindwa kuonyesha kwa vitendo demokrasia vinayoihubiri.
Maalim na Lipumba utadhani ni manabii wa chama, miaka Nenda rudi viongozi ni haohao.
TUNAHITAJI MABADILIKO, TUNATAKA SURA MPYA, MAWAZO MAPYA NA FIKRA MPYA
 
Uwezi kubadilisha asili ya muafrica. Ndio asili.
 
CUF inaigiza siasa.
Vyama vya Upinzani Tanzania vimeshindwa kuonyesha kwa vitendo demokrasia vinayoihubiri.
Maalim na Lipumba utadhani ni manabii wa chama, miaka Nenda rudi viongozi ni haohao.
TUNAHITAJI MABADILIKO, TUNATAKA SURA MPYA, MAWAZO MAPYA NA FIKRA MPYA

Bujibuji hivi vyama ni vichanga. Kibaya zaidi vinapambana na dola katiks kujijenga. Lazima viwe makini kubadirisha viongoxi. Naamini kungelikuwa na fair play kutoka dola, vyama hivi vingelikuwa na sura tofauti
 
CUF inaigiza siasa.
Vyama vya Upinzani Tanzania vimeshindwa kuonyesha kwa vitendo demokrasia vinayoihubiri.
Maalim na Lipumba utadhani ni manabii wa chama, miaka Nenda rudi viongozi ni haohao.
TUNAHITAJI MABADILIKO, TUNATAKA SURA MPYA, MAWAZO MAPYA NA FIKRA MPYA
Ila ccm wameweza kuonyesha democrasia?
 
TAARIFA KWA UMMA

KUHUSU KESI DHIDI YA LIPUMBA NA WENZAKE:

Taasisi ya THE Civic United Front (CUF-Chama Cha Wananchi) inapenda kuwajulisha wanachama, wapenzi wa CUF na watanzania wote kwa ujumla wapenda mabadiliko nchini kuwa shauri lililofunguliwa na Bodi ya wadhamini ya CUF
(THE REGISTERED TRUSTEES OF THE CIVIC UNITED FRONT(CUF-CHAMA CHA WANANCHI) dhidi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini (THE REGISTRAR OF THE POLITICAL PARTIES)-1,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (THE HONOURABLE ATTORNEY GENERAL)-2,
Prof Ibrahim Haruna Lipumba-3,
Magdalena Sakaya-4,
Maftaha Nachuma-5,
Abdul Kambaya-6,
Masudi Omari Mhina-7,
Thomas Malima-8,
Kapasha H. Kapasha-9,
Musa Haji Kombo-10,
Habibu Mnyaa-11,
Na haroub Shamis-12.

Itatajwa kwa mara ya kwanza kesho tarehe 10 NOVEMBER, 2016 katika Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam mbele ya Jaji KIHIYO. Tunawaomba wanachama na wapenzi wa Taasisi yetu kujitokeza kwa wingi kuwasindikiza viongozi wetu kuhudhuria kesi hiyo kesho saa 3 kamili asubuhi tuwe tumefika Mahakama Kuu.

CUF TAASISI IMARA, CUF NGANGARI,

HAKI SAWA KWA WOTE

Maharagande
KNMHUMU

Tangazo limekaa kisanii kukwepa mkono wa dola.Maharagande ameogopa kuandika neno Chama cha cuf badala yake katumia neno Taasisi kukwepa kufungwa jela kwa kua hatambuliki na msajili,ameandika kwa kujificha
Inaonekana hata hiyo kesi yao wameshashindwa kabla ya kuanza kwa kukosa pia sifa
 
Sasa nimeanza kupata majibu.kumbe lipumba kuna watu wana mshika masikio.msimamo ni ule ule.barua yako ya kujiuzulu ndo tunayoitambua.na ndio tumeikubali.
 
TAARIFA KWA UMMA

KUHUSU KESI DHIDI YA LIPUMBA NA WENZAKE:

Taasisi ya THE Civic United Front (CUF-Chama Cha Wananchi) inapenda kuwajulisha wanachama, wapenzi wa CUF na watanzania wote kwa ujumla wapenda mabadiliko nchini kuwa shauri lililofunguliwa na Bodi ya wadhamini ya CUF
(THE REGISTERED TRUSTEES OF THE CIVIC UNITED FRONT(CUF-CHAMA CHA WANANCHI) dhidi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini (THE REGISTRAR OF THE POLITICAL PARTIES)-1,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (THE HONOURABLE ATTORNEY GENERAL)-2,
Prof Ibrahim Haruna Lipumba-3,
Magdalena Sakaya-4,
Maftaha Nachuma-5,
Abdul Kambaya-6,
Masudi Omari Mhina-7,
Thomas Malima-8,
Kapasha H. Kapasha-9,
Musa Haji Kombo-10,
Habibu Mnyaa-11,
Na haroub Shamis-12.

Itatajwa kwa mara ya kwanza kesho tarehe 10 NOVEMBER, 2016 katika Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam mbele ya Jaji KIHIYO. Tunawaomba wanachama na wapenzi wa Taasisi yetu kujitokeza kwa wingi kuwasindikiza viongozi wetu kuhudhuria kesi hiyo kesho saa 3 kamili asubuhi tuwe tumefika Mahakama Kuu.

CUF TAASISI IMARA, CUF NGANGARI,

HAKI SAWA KWA WOTE

Maharagande
KNMHUMU
Lipumba yup huyu anayelala kwenye ofisi ya cuf pale buguruni au ?

Sent from mTalk
 
Back
Top Bottom