Mendelian Inheritanc
Member
- Dec 25, 2011
- 86
- 11
Taarifa kwa Madaktari wote nchini,
Kamati ya Jumuiya ya madaktari Tanzania inapenda kuwaalika madaktari wote nchini kuhudhuria mkutano mkubwa wa madaktari utakao fanyika siku ya Jumanne tarehe 03/07/2012 kuanzia saa mbili asubuhi katika ukumbi utakaotangazwa baadaye.
Imetolewa na Kamati ya Jumuiya ya Madaktari.
[h=6]‎"naelekea nje ya nchi kwa matibabu, nawasihi madaktari wenzangu wanaobaki waendelee na mapambano ya kudai haki ambayo kimsingi bado haijapatikana, nawaomba damu yangu iliyomwagika ikawe chachu na hamasa katika harakati hizi za kudai haki, asanteni sana" ... Dr steven ulimboka [/h]aluta kontinua
ila aya mambo saa ingine yanakera..eti kama hutaki laki 6 nenda private
na mshahara wa mwezi huu msiuombe kwani hamjafanya kazi yoyote kwa wiki mbili. Aisye fanya kazi na asile. Si mwende huko private hospitals au botswana na ulaya mnakotuhadaishia?
Hawana cv za kutosha hawa ndio maana wanang'ang'ania kuwatesa wagonjwa wetu. Kwanza nje huko ukiulizwa kwanini umeacha kazi Tanzania, ukisema "nilikuwa kwenye mgomo", hupewi kazi.
Madaktari wa Kitanzania wenye CV zao za maana wako nje kibao, wako hapa kwenye mashirika ya nje wanakula mifweza sio ya kawaida. Hawa ni wajivuni wachache wanaodanganywa na vikundi vya kijinga. Kwa umbumbumbu wao na wao wanakubali tu kama misukule.
Haya endeleeni na mgomo.
mh!we baba acha umbea!hivi dr kahamba na dr shabani wakigoma pale MOI utabakiwa na nani?mbona mchochezi namna hiyo.
Hivi madkatari wote hua mnajuana??
Maana nina wasiwasi kina Abeid na ACP Msangi wanaweza kujifanya madaktari wakahudhuria nao