abudist
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 850
- 780
I'm well educated bro. This isn't seriously it just a joke so don't take it as a big dealHumu kuna vitoto hata visivyoelewa mambo yako vipi. Umeishia darasa la ngapi!
I'm well educated bro. This isn't seriously it just a joke so don't take it as a big dealHumu kuna vitoto hata visivyoelewa mambo yako vipi. Umeishia darasa la ngapi!
are right , mkuu.For sure time will tell. Bora Serikali ingekaa kimya. Mi naamini Serikali itaikanusha hii press release maana inaidhalilisha UN!!
Kweli kabisa mkuuUkijua ukweli wa mambo halafu ukapitia huu uzi unaweza kuanza kuhoji akili za wachangiaji plus moderators as well. Very sad.
Na wewe usiwe mtoto. Jua kua si kila ukweli husemwa hadharani.Hivi kama hamna mahusiano mazuri na wafanyakazi wenzake ndani ya UNDP inahalalisha serikali yetu kumpa saa 24 kuondoka nchini? taarifa hito ina ukakasi, tuache uongo tujifunze kusema ukweli.
Walifanya kwa ajili ya nyapu au kwa ajili ya maslahi ya nchi?Mbona huyu sio wa Kwanza?
Mbona marais wote wamefanya haya.Nchi kwanza halafu watumishi wa UN
Acha uhuni kwenye masuaka ya msingi.nyapu ndio niniWalifanya kwa ajili ya nyapu au kwa ajili ya maslahi ya nchi?
Nina uhakika Rais wetu hausiki na hili na nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hivyo.
mawazo kama yangu...kweli issue za HR za UN ni za kitaifa? kama kuna kingine wangepotezea kuliko kutoa tamko linaloleta discussions kama hiziFor sure time will tell. Bora Serikali ingekaa kimya. Mi naamini Serikali itaikanusha hii press release maana inaidhalilisha UN!!
Huna account Insta....?eeeehhhh...Mbona hakuna anayeeleza Mange kasema nini? Kwanini mnaamini kila mtu ameona hicho alichopost Mange? Inakera sana unatoka page 1-7 hakuna chochote cha maana kinachoelezwa kuhusu hiyo hadithi ya Mange.
Other matters significantly transcend your intellectual domain young manTaarifa hii inachanganya zaidi.Kuna uwezekano hao watumishi wenzake ndio wenye matatizo.Nadhani jukumu la kutathmini nani anafaa kuitumikia UNDP ilitakiwa ifanywe na UN baada ya kufanya uchunguzi wao.
Mnataka msikie nini sasaHivi kama hamna mahusiano mazuri na wafanyakazi wenzake ndani ya UNDP inahalalisha serikali yetu kumpa saa 24 kuondoka nchini? taarifa hito ina ukakasi, tuache uongo tujifunze kusema ukweli.
Na mnaamini hilo litawaongezeeni kura 2020?Wanaendelea kujikaanga tu.
Kuku mgeni.....Huna account Insta....?eeeehhhh...
Ni raia wa Gambiani raia wa wapi huyo mtu?