Luge brown
Member
- Aug 6, 2017
- 66
- 143
Zipo tetesi kwamba leo tarehe 16/02/2018 mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam aitwae AQULINA AKWILINI BAFTAHA, amepigwa risasi na jeshi la polisi akiwa kwenye daladala, Duru zinaarifu kuwa polisi hao walikuwa wanakabiliana na waandamanaji kwa kutumia risasi za moto ndipo mwanafunzi wa UDSM tajwa hapo juu akapatwa na risasi iliyomsababishia umauti!!!
Hivyo kwa yeyote mwenye taarifa za mwanafunzi tajwa hapo juu asaidie kutoa taarifa zake kwa uongozi wa DARUSO hususani waziri wa ulinzi au uongozi wa chuo mapema iwezekanavyo ili kuthibitisha kama kweli jina hilo ni la mwanafunzi wa UDSM au laa.
Pia ikiwa mwenye jina hilo yupo na hajadhurika na kitu chochote nae anapaswa kujitokeza kwa uongozi ili kuondoa sintofahamu hii inayoendelea miongoni mwetu.
Msipende kumuweka Mange kimambi ni source ya Taarifa