mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,411
- 5,150
Duru za kuaminika zikimuhusisha jamaa yangu wa karibu ambaye ni mfanya biashara wa vilevi pamoja na nyama ya nguruwe(kitimoto) maeneo ya misufini huko morogoro , Zinadai Leo biashara ya kitimoto na bia imechanganya sana.
Duru zimeenda mbali na kudai kuwa mpaka kufika majira ya saa 9 mchana wa Leo , kitimoto kilikuwa kimeisha katika maeneo yote maarufu kwa uuzwaji wa nyama hiyo hapo morogoro!.
Wakati huohuo vyanzo vyangu vingine vinadodosa kwamba mabanda mengi ya kitimoto hapo daslam nayo yameshuhudia ukame wa mbuzi katoliki katika Siku hii muhimu kidini.