Taarifa: Dr Makongoro Mahanga kuzikwa makaburi ya Tabata Segerea tarehe 26 March saa 10 jioni

Nilishangaa sana wakati Mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari siku tatu nne zilizopita alipoacha kuanza hotuba yake na huu msiba bali akakimbilia maswala ya mikutano na corona na mwisho kabisa ndiyo akaongerea msiba wa Dr. Mahanga just by the way na haikuwa kwenye ajenda zake ya mkutano wake na waandishi wa habari. Lakini nikajua tu Dr. Mahanga hatoki kuleee!!
 
Hueleweki kama unacheka au unalia .
 
Mbona hajaenda kuzikwa anakotoka?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndivyo walivyo hao ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikitika kusema watu wa aina yako ndio wanafanya sisi mwanaccm tuonekane chama cha wajinga.
Hivi mmetokea wapi? Mbona wakati wa JK na Kinana hamkuwepo na upuuzi wenu huu?
Na ajabu ni kuwa hamna hata mshipa wa aibu hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…