Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,311
- 217,320
Nilishangaa sana wakati Mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari siku tatu nne zilizopita alipoacha kuanza hotuba yake na huu msiba bali akakimbilia maswala ya mikutano na corona na mwisho kabisa ndiyo akaongerea msiba wa Dr. Mahanga just by the way na haikuwa kwenye ajenda zake ya mkutano wake na waandishi wa habari. Lakini nikajua tu Dr. Mahanga hatoki kuleee!!
Haisaidii kitu bali jibu hoja!.................Nimekutukania mama yako popote alipo,nimemtukanaje unga dots!!!
Pathetic!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Hueleweki kama unacheka au unalia .Nilishangaa sana wakati Mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari siku tatu nne zilizopita alipoacha kuanza hotuba yake na huu msiba bali akakimbilia maswala ya mikutano na corona na mwisho kabisa ndiyo akaongerea msiba wa Dr. Mahanga just by the way na haikuwa kwenye ajenda zake ya mkutano wake na waandishi wa habari. Lakini nikajua tu Dr. Mahanga hatoki kuleee!!
Kwa umri wake na wasifu niliousoma, ni ishara ya kujisahau na kupoteza mawasiliano na nyumbani kwao kwa asili.
akijibu nistue
Huwezi elewa wewe unafanana na wale wanyama wa Serengeti.Hueleweki kama unacheka au unalia .
Halafu huyu hachangiwi rambirambi? Maana naona pako kimya sana mtandaoni. Au kifo chake hakina kiki?
Nilishangaa sana wakati Mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari siku tatu nne zilizopita alipoacha kuanza hotuba yake na huu msiba bali akakimbilia maswala ya mikutano na corona na mwisho kabisa ndiyo akaongerea msiba wa Dr. Mahanga just by the way na haikuwa kwenye ajenda zake ya mkutano wake na waandishi wa habari. Lakini nikajua tu Dr. Mahanga hatoki kuleee!!
Nilishangaa sana wakati Mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari siku tatu nne zilizopita alipoacha kuanza hotuba yake na huu msiba bali akakimbilia maswala ya mikutano na corona na mwisho kabisa ndiyo akaongerea msiba wa Dr. Mahanga just by the way na haikuwa kwenye ajenda zake ya mkutano wake na waandishi wa habari. Lakini nikajua tu Dr. Mahanga hatoki kuleee!!
Hueleweki kama unacheka au unalia .
Hilo ndio jimbo lake bwashee!
rambi rambi ya Tetemeko la Kagera unajua ilikopotelea ?Halafu huyu hachangiwi rambirambi? Maana naona pako kimya sana mtandaoni. Au kifo chake hakina kiki?
Nasikitika kusema watu wa aina yako ndio wanafanya sisi mwanaccm tuonekane chama cha wajinga.Nilishangaa sana wakati Mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari siku tatu nne zilizopita alipoacha kuanza hotuba yake na huu msiba bali akakimbilia maswala ya mikutano na corona na mwisho kabisa ndiyo akaongerea msiba wa Dr. Mahanga just by the way na haikuwa kwenye ajenda zake ya mkutano wake na waandishi wa habari. Lakini nikajua tu Dr. Mahanga hatoki kuleee!!