Rais Samia unavyowaalika Yanga SC yako leo Ikulu unajua kuwa Kesho tarehe 6 June, 2023 Saa 10 Jioni wana Mechi Sokoine Mbeya?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Wenye Akili tunajua kuwa hujui Mpira na hata tu Hobbie ya Mpira huna ila Unashinikizwa na Mstaafu Mmoja mwana Yanga SC huku akikudanganya kuwa ukiipenda na Kujipendekeza kwa Yanga SC basi hata 2025 Kura zako zote Watakupigia wao.

Ratiba ya Ligi inasema kuwa Yanga SC Kesho Saa 10 Kamili Jioni wanacheza na Mbeya City FC Uwanja wa Karume na Wewe tena kama kawaida yako na kutaka Sifa leo Jumatatu umewaalika Chakula cha Jioni Ikulu utadhani hiko Chakula kitokanacho na Kodi ya Watanzania ni Kizuri sana na Makwao hawawezi Kupikiwa na Wake zao.

Na najua Bodi ya Ligi Kuu na TFF kwa Uwoga, Unafiki na Kujipendekeza Kwako Ratiba ya Ligi Kuu ( hasa kwa Mechi za Yanga SC tu na ile ya Fainali ya ASFC iliyopangwa Kuchezwa tarehe 12 June, 2023 ) itabadilishwa ili Kuidekeza na Kuipendelea Yanga CCM Samia Serikali Sports Club kama Watakavyo.
 
Wenye Akili tunajua kuwa hujui Mpira na hata tu Hobbie ya Mpira huna ila Unashinikizwa na Mstaafu Mmoja mwana Yanga SC huku akikudanganya kuwa ukiipenda na Kujipendekeza kwa Yanga SC basi hata 2025 Kura zako zote Watakupigia wao...
1. Lugha sio ya staha

2. Wanaweza hata kuondoka baada ya hafla hiyo kwa ndege ya kukodi

3. Rais ana washauri kila nyanja kuliko unavyodhani
 
1. Lugha sio ya staha
2. Wanaweza hata kuondoka baada ya hafla hiyo kwa ndege ya kukodi
3. Rais ana washauri kila nyanja kuliko unavyodhani
1. Kipimo chako kuwa siyo ya Staha ni kipi?

2. Kwakuwa huna Akili mtafute mtu akuelimishe kuhusu Jetlag na jinsi inavyowaathiri Wachezaji kuelekea Mchezo ufuatao.

3. Aliyekuambia Rais huwa hana Washauri Wapumbavu ni nani?

Rudi Shule...!!
 
1. Kipimo chako kuwa siyo ya Staha ni kipi?
2. Kwakuwa huna Akili mtafute mtu akuelimishe kuhusu Jetlag na jinsi inavyowaathiri Wachezaji kuelekea Mchezo ufuatao
3. Aliyekuambia Rais huwa hana Washauri Wapumbavu ni nani?

Rudi Shule...!!
Mzee baba jetlag safari ya Dar to Mbeya na ndege wamepewa na Raisi.
Safari ya jana ungeniambia jetlag sawa ningekuelewa ila sio hii safari fupi.
 
Wenye Akili tunajua kuwa hujui Mpira na hata tu Hobbie ya Mpira huna ila Unashinikizwa na Mstaafu Mmoja mwana Yanga SC huku akikudanganya kuwa ukiipenda na Kujipendekeza kwa Yanga SC basi hata 2025 Kura zako zote Watakupigia wao...
Endelea kuumia tu
 
Acha wivu mtoto wa kiume... na lingine uongezee kwenye uzi wako ni kwamba katoa na ndege pia wakishamaliza chakula wanakwea pipa iliotolewa na raisi mpka mbeya ..
Mwambie kwa anavyoipedelea Yanga SC na Kuionea na Kuinanga Simba SC kupitia Waziri wake Mnafiki na Mbovu wa Michezo wana Simba SC wakiongozwa nami MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" tutamalizana nae katika Sanduku la Kura katika Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 ambao nina uhakika atagombea na hatoamini.
 
Back
Top Bottom