Taarifa: ACT-Tanzania hatuna ushirika na CUF

Haka Ka Chama Bwana! Ningekuwa Mkumbo ningedeal na ufundishaj chuo na kuongoza midahalo tu basi, siasa aachane nayo au naye atunge chama chake

Mkuu, muache Kitila aendelee; siasa pia zinahitaji weledi. Jambo la muhimu wanasiasa wenye taaluma wazitumie kwa faida yawengi, si kwa maslahi binafsi.
 
Usaliti ni laana inayotafuna hadi kizazi cha 4 , namhurumia sana Mwl Kaijage .
 


Hilo la ACT kutokuwa na uhusiana na CUF linaeleweka, na wala halikutakiwa kufanyiwa ufafanuzi mkubwa namna hii. Badala yake watanzania tunajua kuwa ACT ina uhusiano na CCM. Kwa hiyo isingewezekana ACT ikawa na uhusiano na CCM na wakati huohuo ikawa pia na uhusiano na CUF ambao wako upande wa UKAWA = jambo hili lisingewezekana!
 
Ana vyeti na awards za uprofesa lakini fikra zake zinaendeshwa na tumbo!!!!!!. Hivyo tunaweza mwita prof. Njaa
 
hiki chama ni kichanga sana lakini kina migogoro kibaaooo hii ni dalili tosha kua hakita kua na maisha marefu.....wanafiki na wasaliti hawawezi kukaa meza moja hata siku moja.
haa haa duh, hiki chama ni majanga!
 
Hata Lucas Limbu arudi Magu kulima pamba.Mwigamba na Prof Kitila sikio la kufa halisikii dawa ombeni msamaha mrudi CHADEMA,Ujumbe huu mpeni pia ZITTO ZUBERI.
 
Wewe kila siku kulalamika tu hata sijui unachotoka ni nini kwenye siasa.
 
Prof. Kitila Mkumbo hana weledi wa kuchambua katiba...!! Hajui tofauti ya mamlaka na majukumu...!! Kweli tutasikia mengi mwaka huu.

Prof, aibu gani hii??
Kitila anavuna alichopanda. Prof anafundishwa na watoto wa chekechea loh!
 
Act amuwezi kuwa na ushirikiano na cuf maana nyie ni zaidi ya wanafiki na muko kwa ajili ya kudhoofisha upinzani ili ccm iendelee baki madarakani
 
Bw. Mwigamba na Prof. Kitila, ni watu wakaidi mno, wabinafsi na waroho wakubwa wa madaraka. Kuwavumilia katika taasisi yoyote ile kunahitaji kuwa na moyo wa chuma; historia zao huko walikofukuzwa zinajulikana.

Ushauri wangu kwa Prof Kitila Mkumbo

Anzisheni Chama Halafu Viongozi wote wawe Wasomi maana Kila Mnapokwenda Mnaweka Mikakati ya Kuwaweka Kando Vilaza.

Mkianzisha Chama cha Wasomi Hakika Mwaku Huu Mnaingia Ikulu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…