Mkuu sio (waislam) watu wa dini moja, kuna ambao sio waislam bt wachache sana, ila hzo nyimbo huimbwa sana na watu wa mwambao(pwani) ambao wengi wao ni WASWAHILI, na kawaida ya hawa watu ni kwamba wana maneno sana, ndomana kama ni msikilizaji wa hzo nyimbo utajua kuwa kuna vijimaneno vingi vyakiswahili wanavi2mia...